Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

dawa gani unaziongelea? hivi nguza hakuwa na mke? hivi papii hakuwa na girlfriend?ujanishawishi katika hili.
cc Mulama.
Mkuu suala linapoghbikwa na dhana ya uhuru wa kuongea ni taabu sana kupata ufumbuzi, wengi nimegundua kuwa wakati mwingine tunachangia bila kuzisoma vizuri post tena kwa kusoma comments za watu wawili watatu na kuanza kuchangia, lingine ni kutokuwa na background ya kinachoongelewa lakini tuka jump into uchangiaji mada. Hii wakati mwingine inaondoa maana ya the great thinkers forum.
Tukirudi kwenye mada, ni kwamba hawa wafungwa ni wa shinikizo la mtu si la kisheria, na kila aliyehusika nafsi yake inakiri ukweli huu.
 
2.jpg

1.jpg

-Gazeti la Uwazi toleo la leo, via GPL
Marando alisema takriban dakika 120 mbele ya jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo, wakiongozwa na Jaji Nathalia Kimaro akisaidiana na Jaji Mbarouk Mbarouk na Jaji Salum Massati.
Akiwa mahakamani hapo, Marando alidai kuwa mahakama iliteleza katika kutoa uamuzi uliowatia hatiani na kuwafunga maisha wateja wake na kwamba kuteleza huko kunaonekana waziwazi.

Alifafanua kuwa wakati wakifanya majumuisho ya kesi hiyo, mahakama ilijiridhisha kwamba kulikuwa na makosa katika kupokea ushahidi wa watoto wanaodaiwa kufanyiwa vitendo hivyo.
 
naendelea kupitia judgemental na appeals za hii case i can say this is very interesting case, pengine unaweza kudhani ni movie na ina sikitisha sana. ngoja niendelee.
 
najisikia vby sana... mapenzi yanavyoweza kubadili maisha ya mtu...
 
SUZANE take your time pitia hiyo judgement na appeal utagundua mengi,mimi naendele kuipitia na niwazi hii case ni ngumu sana hakika.
Hivi unajua kama babu seya alisema yeye hasimamishi?
hivi unajua kuwa watoto walipimwa na kukutwa na kaswende na kisonono?

Hivi unajua babu seya alikiri kuwa alikuwa play boy?

daa ukisoma judgement uto taka kusoma comment za watu zilizo jaa hisia tuu bila uhalisia.

this is very interesting cas as EMT said.

Nawashauri wana jf kupitia hizo documents kwanza ndio turudi kwenye mjadala.

kuna mambo mengi sana ya kujiuliza kwenye hii case na judgement.
 
Last edited by a moderator:
Hizo zote stori hao walibaka full stop waache wakae huko huko iwekomesha kwa wabakaji wote.Kama walionewa Mungu anaona.
 
hii case ni ngumu kwa upande wa Nguza na ina mvuto wa pekee. mi naendelea kupitia rufani na washauri wale wanao amini hii case was fabricated wapitia hiyo judgement document and appeal.
 
Hizo zote stori hao walibaka full stop waache wakae huko huko iwekomesha kwa wabakaji wote.Kama walionewa Mungu anaona.

umepitia hiyo document hapo juu? maana umeshindwa pakusimamia.
 
kaka hio sio civil cases mpaka kuwe na plaintiff and defendant!! hio ni criminal case kuna appellant and respondent katika kesi kama hio ambayo ni very interest kwa nchi nzima, precedents ya mahakama lazima iwe ngumu sana..
mkuu hayo maneno ni ya kawaida kabisa kwenye case wala si lazima hiwe civil case labda useme kuwa sababu tuu case imeshafika ngazi ya rufaa.
 
Mkuu hivi punde nimepewa soft copy ya hukumu ya Addy Lyamuya PRM na High Court appeal decision of Judge T.B. Mihayo kama nilivyo-attach hapo chini.

Wakati hakimu alipotoa hukumu yale mwana 2003, I took the case just as another case.

Lakini kadri muda unavyosonga mbele, kesi hii inazidi kuvutia umma.

Pia there is a lot of emotions from both parties of the argument hasa hapa JF.

Due to our adversarial system, ni vigumu sana kujua which side was saying the truth before the court.

Hata hivyo, hizi huku zitatusaidia kusoma ushahidi ulioletwa mahakamani na pande zote mbili na muhimu zaidi kufanya analysis ya huo ushahidi na maamuzi yaliyofikiwa na mahakama.

Itabidi nitafute muda nikae chini ili niweze kusoma in detail hukumu hizi mbili.

Kama kuna ambaye ana soft copy ya uamuzi wa Mahakama ya Rufaa atuwekee hapa please.

MKUU EMT KWA MARA NYINGINE NASHUKURU KWA KUWEKA HII DOCUMENT YA HUKUMU HAPA NA NINA FIKIRI WALIO KUWA NA NIA YA KUJUA UKWELI NA UONGO KWENYE CASE HII WALI HIISOMA HII HUKUMU NA HILE APPEAL.

KWA KWELI KAMA MTU HAKUPA WASAA WA KUPITIA HIZO DOCUMENT LAZIMA ATAJIKITA KWENYE UTETEZI WA KIHISIA TUU KAMA WANAVYO FANYA BAADHI YA MEMBER WA JF KUHUSU HII CASE.

MIMI BAADA YA KUMALIZA KUSOMA HUKUMU NA APPEAL NILIJUA KABISA NA ILIKUWA WAZI KUWA NGUZA VICKING HAMOCHOMOKI NA NILIKUWA NASUBIRI KUSIKIA MAAMUZI YA LEO.

NI WAZI KABISA WATANZANIA ATUPENDI KUSIKIA UKWELI UNAO UMA HASA KUHUSU TUNAO WAPENDA,NDIO MAANA WATU WENGI WAMEJIKITA KWENYE MANENO KUWA WAMESINGIZIWA,KESI IMETENGENEZWA LAKINI HAWATAKI KUSOMA HIZI DOCUMENTS ZA HUKUMU NA APPEAL AMBAZO ZINA FACTS NA EVIDENCE.
NINA UHAKIKA KILA MTU ANGEPATA WASAA WAKUPITIA HIZO DOCUMENT PENGINE WATU WASINGE ONGEA HAYO MANENO.

TATIZO KILA JAMBO LINAFANYWA SIASA NDIO MAANA UKWELI UNAKUWA MGUMU KUJULLIKANA MAPEMA.
CC
Kibo10, Mkempia, Joel amphrey, Utingo, blesses, threesixteen, HIMSELF, Bob Fern, Naibili, PakaJimmy, Deo carleone, Emanuel Makofia, Kituru, qn of sheba, habie, Smile, King'asti, Matola, babu Msemaovyo, Anold, tall gal genekai, Rose M, prs MTWAmkulu, BJEVI, crocodile tooth, Nyanya mbichi, Ndetirima.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

wekeni hiyo soft copy watu waisome
 
Ilikuwa ngumu jamaa kuchomoka. Makosa yalifanyika mwanzoni walivyoenda kotini kimzaamzaa wakati wanakabiliwa na kesi ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa ngumu jamaa kuchomoka. Makosa yalifanyika mwanzoni walivyoenda kotini kimzaamzaa wakati wanakabiliwa na kesi ngumu.
mkuu MSHObosy ulipo nitumia zile soft copy nikazipitia daa yani niliamini kabisa ni ngumu Marando kuwachomoa kwenye hili kadhia na uzuri evidence ziko wazi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mshombosy nimegundua watu wengi hawa kupata wasaha wa kupitia hile hukumu na appeal .sasa ikiwezekana zilete tena hapa kwenye page ya mwisho alaf Moderator atusaidie kuziweka mwanzo wa uzi.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu Ruttashobolwa inabidi tukubali hata kwa shingo upande 🙁
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom