Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,036
- 1,808
Mkuu suala linapoghbikwa na dhana ya uhuru wa kuongea ni taabu sana kupata ufumbuzi, wengi nimegundua kuwa wakati mwingine tunachangia bila kuzisoma vizuri post tena kwa kusoma comments za watu wawili watatu na kuanza kuchangia, lingine ni kutokuwa na background ya kinachoongelewa lakini tuka jump into uchangiaji mada. Hii wakati mwingine inaondoa maana ya the great thinkers forum.dawa gani unaziongelea? hivi nguza hakuwa na mke? hivi papii hakuwa na girlfriend?ujanishawishi katika hili.
cc Mulama.
Tukirudi kwenye mada, ni kwamba hawa wafungwa ni wa shinikizo la mtu si la kisheria, na kila aliyehusika nafsi yake inakiri ukweli huu.
