kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 328
Hii kesi ilishaisha ila sema kuna watu hao kila siku wako against serikali . Yaani wana chuki na huu utawala wako tayari kutunga chochote mradi waingize sifa mbaya as walivyosema nchi haitatawalika. So hii sio kesi watu wanataka kuitumia kisiasa baadae wapindishe sheria ili wabakaji watoke na wao wapate sifa na chama chao. Hivi mtu anaposema eti subiri 2015 chadema ikiingia madarakani kina Seya watatoka . Ina maana Chadema ina support wabakaji. Na je kuna wabakaji wangapi magerezani...... Kuna watu wanafananisha kesi ya Liumba na Babu seya. Liumba alitumia madaraka vibaya. Na Babu seya kesi yake ni Kubaka watoto wadogo au malaika wasiojua kitu. Hivi leo akiachiwa na hao ndugu wa wale watoto waliobakwa wakimuua mtasemaje.