Babu Seya: Ufafanuzi juu ya uvumi unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii

Tunajua rufaa ilitupiliwa mbali kinachohitajika ni hiruma ya rais,sasa basi nieleze rais anatoa msamaha kipindi gani?
 
Kuna tetesi nimezipata hivi punde eti Papii kocha na babaye wameachiwa huru,mwenye kujua ukweli atujuze...
 
Ndugu wanajamvi habari zilizonifikia hivi punde kutoka chombo kimoja cha habari zinasema kuwa ndugu zetu papii Kocha na Babu Seya wako huru kwa kutokana na rufaa yao waliokata wakitetewa na Wakili Maarufu nchini MABERE MARANDO!! Naomba update zaidi wakuu?
 
Kuna tetesi nimezipata hivi punde eti Papii kocha na babaye wameachiwa huru,mwenye kujua ukweli atujuze...

Wewe tatizo lako shule huna elimu unakuja ku post vitu huna evidence
 
hatimae mwanamziki maarufu nguza viking na mwanae waachiwa huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…