Godfrey Kimi
Senior Member
- Sep 2, 2014
- 165
- 31
Tunajua rufaa ilitupiliwa mbali kinachohitajika ni hiruma ya rais,sasa basi nieleze rais anatoa msamaha kipindi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mkubwa na hashindwi na lake na huamua kwa muda anaotaka yeye.
Muhimu kwetu Binaadamu ni Subira na Ustahamilivu
Mungu Asifiwe
Hatimae watoka
Ila mi namkubali sana huyu warumi!anajua jinsi ya kuwaondoa watu stress!kuna kipindi aliadimika tulikonda!
jk unaweza kumuibia hela akakusamehe lakini sio mwanamke,seya hatoki.
Kuna tetesi nimezipata hivi punde eti Papii kocha na babaye wameachiwa huru,mwenye kujua ukweli atujuze...