Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Hao wabatafuta kumrudisha tu bashite kwenye media ila hana lolote huyo na bwabwa wake tale ,wanafanya show kwenye maisha ya watu kweli upuuzi kabisa huu
 
SIASA + KIKI ZA MUZIKI + BIFF ZA WASANII + CHUKI NA MAKONDA = MKOROGANO HEAVY KWA WASIOJITAMBUA
 
Nadhani umekosea kujiunga na jf. ....au siku unajiunga hukusoma vizuri kuwa unajiunga na home of great thinkers.....

haya endelea kutokuelewa hawa wanahusikaje na utekwaji wa roma2030.
Nguvu nyingi akili kidogo

Jibu swali sio kulalama tu
 
Usikute huyo jamaa Roma kafichwa na wasanii wenzake ili kukuza bongo fleva kimataifa. Hawa wasanii wanajuana wenyewe na hiyo Clouds yao. Pia inawezekana alikataa kubebeshwa mizigo na watu wa Clouds nao wakahamua kumfanyia unyama.
 
Back
Top Bottom