Babu Tale asema anajiandaa kisaikolojia kufungwa jela maana hana millioni 250 za kumlipa Sheikh Hashim Mbonde

Nadhani kama lengo la sheikh mbonde lilikuwa ni MAFUNDISHO yawafikie watu ili wamjue Mwenyezi Mungu basi hana haja ya kudai fedha zote hizo ambae inaonekana kama alikuwa na lengo la kupiga pesa kuliko kueneza neno la Mwenyezi Mungu
Rejea makubaliano yao kuwa watagawana faida!
 
Nadhani kama lengo la sheikh mbonde lilikuwa ni MAFUNDISHO yawafikie watu ili wamjue Mwenyezi Mungu basi hana haja ya kudai fedha zote hizo ambae inaonekana kama alikuwa na lengo la kupiga pesa kuliko kueneza neno la Mwenyezi Mungu
Bwana weee yeye simtu wa Mungu CD zinauzwa watu wamjue Mungu haya hizi fidia za nini tena
Hahahahaaaa
Dini zimeondoka na wenyew asaiv wababaishaji tu
 
Mdaiwa hafungwi atamlipa buku buku mpka siku atamaliza deni
 
Atakuwa ameshacheki na mawakili wake

wamemshauri iliyoshtakiwa ni kampuni

sio yeye hata utekelezaji watakamata

mali za kampuni sio zake binafsi .....thats why

ana confidence...kama kampuni haina mali

ndio imetoka hiyo
 
toka lini deni likampeleka mtu jela?sheria za wapi hizo?
 
wacha kuchanganya mambo mkuu misahafu na biblia zote zinauzwa kanda za kwaya na mawaidha vyote vinauzwa hii ya Sheikh unataka saipewe haki yake eti alikuwa anafikisha neno la Mungu
Sikatai inauzwa lakini angalia bei yake zinauzwa bei ya chini ili kila mtu aweze kununua ni tofauti kabisa na hili la sheikh Mbonde kutaka milioni 300 hii si sawa. Hii siyo industry ya mziki useme kwamba mtu ametumia beat au mashairi yako bila kupata idhini haya ni mambo ya kidini huwa tunaamini Mwenyezi Mungu atatulipa zaidi hata ya hayo Mamilioni kesho Akhera kinyume chake ni Maslahi binafsi haya
 
Hadai mauzo ya CD moja wahusika wakae chini na muhusika hicho kiasi nikwavile hakuna maelewano waridhi lengo lao si zuri wamelenga kurusha huwezi kurithi faida au mali za marehemu tu na madeni pia wao wakae hats Sheikh hawezi kudai kiasi hicho tatizo hapa nikudharau ma Sheikh kuwa hawajui kitu
 
Sidhani kama wanaweza kukaa maana suala kama limeshafika mahakamani na hukumu ikapita kitakachofuata ni kulipa tu. Lakini watu jamii ya kina Babu Tale ni watu wastaarabu sana sidhani km babu tale anaweza kufikia hatua ya kudharau Masheikh nadhani ni suala la kutumia Fursa tu kwa sasa ndilo ninaloliona.
 
Angekua mstaarabu angemaliza nje ya mahakama kumbuka kafanya dharau hata hakutaka kuhudhuria mahakamani pili kama ni mstaarabu angemwona sheikh baada ya kuona wito wa mahakama wayamalize
 
Tuendelee kufuatilia yatakayojiri ila sidhani km Tale atatoa hyo pesa
 
Back
Top Bottom