Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Mimi si mnafiki hayo yalikuwa maoni yangu Kama wewe unavotoa ya kwako na yaheshimu na Wala sio unafiki sawa.

Hoja yako nimeishia kwa unafiki kwingine sijasoma kabisa
 
Huko Morogoro vijijini kwa uelewa wa watu kule ukipitishwa na ccm unaishinda huhitaji hata kafara ya kuku. Wananchi kule wako dunia nyingine kabisa

[emoji1787]
 
Enzi za JK hawa walikuwa wakisafiri wanabeba na ganda.Mpaka leo Sallam kapigwa stop kuingia USA.
Sasa Kama Ganda zimezuiliwa Hali ngumu ya kifezwa wataanza kutoana Sana kafara kumbe ni mirija tu imezibwa.
 
Maisha lazma yaendelee ila kwa abood ni mzik mwingine
Labda kafara iwe nzito any way Maisha ni kupambana
 
Hakuwa mnafiki,kaonyesha jamii kuwa mwisho wa huzuni yake ni hizo siku chache,na hapa ndio unaweza kuunganisha dots za mahusiano yake na mkewe wakati wa uhai wake yalikuwaje...
Exactly kabisa
 
Tatizo kwa Diamond mgawo ni wengi. Na madawa ya kulevya biashara Magufuli kabana. Sasa kisa ni popular kishajiona anafaa kuwa mbunge. Any way ni haki yake kikatiba.
Duu,,aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…