Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliliwa hawa hahahaha waseme tuAkihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
Mara paaap mbunge wa CCM yuleeeeee kainamishwaUzuri Didy footage zote fbi wanazo ngoja tusubiri
Hahahaha hatari sana ila nasibu alisema kuna vitu walifanya haviwez kupostiwaMara paaap mbunge wa CCM yuleeeeee kainamishwa
Kusema hivyo kuna thibitisha vipi kuwa kaliwa maana diamond ni mwanamziki na Pdidy ni godfather wa industry ya mziki wa marekaniHahahaha hatari sana ila nasibu alisema kuna vitu walifanya haviwez kupostiwa
Polepole wanaanza kufunguka.Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
Inasikitisha sana jamaa mwili jumba halafu hana marinda!Huyu ndio aliolewa kabisa na jamaa
Acha tusubiri bossSubiri, it's just a matter time. Issues za Bill Cosby na R Kelly zilikuja unexpectedly sasa behind the curtain kuna rumors nyingi nyingne zinamuhusu Jay Z, tuendelee kula/kunywa mtori nyama ziko chini.
🤣🤣🤣Kwa sasa hatuamini maneno tunahitaji report ya daktari mkafanyiwe uchunguzi , P mnyama lazima amewawekea madawa ya kulevya kwenye vinywaji akamalizana nao
Tena nakumbuka hii video ya maneno haya Tale mwenyewe lakini kwenye mkonga leo amekana dah. Hahaha njia ya muongo ni fupi...wahenga walinenaWaliingia bwana, tena walimkuta amevaa taulo tu. Akauliza Diamond ni nani, wakajaribu kumtambulisha lakini hakumfahamu, Diamond akajaribu kuimba lakini jamaa aka diss mpaka baadaye ikabidi wamstie Diamond amuonyeshe video za shoo zake. Pdiddy akamuuliza kama anataka kutoka kweli, alipokubali Pdiddy akamfukuza yule dada aliyekuwa akimfanyia massage😅
Asitufanye wajinga hivi unaweza kwenda kwa Diddy ajue kabisa halafu uondoke bila kuaga?Yaani wakanyanyuka na kuanza kutoka nje ya mjengo bila kuaga mtu yoyote kabisaa!! Halafu anamtaja huyo mmmh!!!
Sasa si wanyamaze!!! watu waongee watachoka tu..
Nimeshangaa sana, maana hiyo video ninayoTena nakumbuka hii video ya maneno haya Tale mwenyewe lakini kwenye mkonga leo amekana dah. Hahaha njia ya muongo ni fupi...wahenga walinena
Majibu yote utayapata akifanikiwa kupata dhamana, omba connection kwa Taletale au msanii wake, ukamuulize maswali yote na usisahau kutupa mrejesho kama ndgu yetu meneja na mbunge TaletaleIna maana pdiddy anachowafanyia ni kama kafara ya kishirikina? Au akiwalawiti anawapa pesa?
Halafu anawashawishi vipi hadi kuwalawiti? Anawapa madawa?
Haya mambo yanafikirisha...
Mbona maelezo tofauti na aliyotoa dayamondiAkihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni pale Diddy alipowakaribisha juu ghorofani wakaangalie runinga. Lakini mwenyeji wao waliyeenda naye, Produza Swizz Beatz aliwakataza kata kata. Na hata wakati wanaondoka hawakuagana na P Diddy.
Pia soma: Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa
Kesho yake Swizz alikuwa na party pia, walienda kushiriki na baada ya kumaliza Swizz aliwaonya tena wasije wakajaribu kwenda nyumbani kwa Diddy, Swizz aliwakabidhi kwa dereva awarudishe hotelini, huku akimpa maonyo makali dereva asije akajaribu kuwapeleka mahali popote.
View attachment 3106362
TumekwishaMbunge wa Bunge la Tanzania anaongea hivi 😂😂
Kama nchi tunafeli sana