Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Waliliwa hawa hahahaha waseme tu
 
Hahahaha hatari sana ila nasibu alisema kuna vitu walifanya haviwez kupostiwa
Kusema hivyo kuna thibitisha vipi kuwa kaliwa maana diamond ni mwanamziki na Pdidy ni godfather wa industry ya mziki wa marekani
 
Polepole wanaanza kufunguka.
 
Subiri, it's just a matter time. Issues za Bill Cosby na R Kelly zilikuja unexpectedly sasa behind the curtain kuna rumors nyingi nyingne zinamuhusu Jay Z, tuendelee kula/kunywa mtori nyama ziko chini.
Acha tusubiri boss
Yaani Blacks kashfa zinaanza wakitajirika tu
Hivi wa kwetu hawana matukio au wanalindwa
 
Tena nakumbuka hii video ya maneno haya Tale mwenyewe lakini kwenye mkonga leo amekana dah. Hahaha njia ya muongo ni fupi...wahenga walinena
 
Ina maana pdiddy anachowafanyia ni kama kafara ya kishirikina? Au akiwalawiti anawapa pesa?

Halafu anawashawishi vipi hadi kuwalawiti? Anawapa madawa?

Haya mambo yanafikirisha...
 
Ina maana pdiddy anachowafanyia ni kama kafara ya kishirikina? Au akiwalawiti anawapa pesa?

Halafu anawashawishi vipi hadi kuwalawiti? Anawapa madawa?

Haya mambo yanafikirisha...
Majibu yote utayapata akifanikiwa kupata dhamana, omba connection kwa Taletale au msanii wake, ukamuulize maswali yote na usisahau kutupa mrejesho kama ndgu yetu meneja na mbunge Taletale
 
Mbona maelezo tofauti na aliyotoa dayamondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…