Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

Sijawahi msikiliza huyu jamaa hadi Leo hii,Kwa hiyo ndio anaongea hivyo?kazaliwa unguja Nini?Halafu achana na mambo ya kuwa good upstairs hapa tunazungumzia mafuta,na kama mwanaume anapakwa mafuta ili apewe fame huyo sio mpuuzi?
Umeenda nje ya tulichokuwa tunajadili mm na huyo jamaa mdukuzi
 
Eti watu wanasafiri maili 10, kwa masaa 22
eti kwenda kula tu chakula, na waliondoka bila kuaga!
hata muvi hawataki kuangalia 😀😀
Brand pekee East africa kwa kufuga mashoga, walishindwa kwenda na noel au juma ?
Screenshot 2024-10-02 090357.png
 
Back
Top Bottom