Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni watu wa matukio ndio sababu wanaitwa wanaharakati. Yanapopita yale yanayowafanya wafungue midomo na kuongea huwa wanapotea mpaka yakiibuka mengine siku za mbele.
Diamond ametumia nguvu, akili na ubunifu mpaka kufika alipofika leo hii. Ukimchukia na kumuwekea nongwa ili asifanikiwe unakuwa sawa na yule anayeupaka rangi upepo.
Diamond ametumia nguvu, akili na ubunifu mpaka kufika alipofika leo hii. Ukimchukia na kumuwekea nongwa ili asifanikiwe unakuwa sawa na yule anayeupaka rangi upepo.