Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

Kura zilizohesabiwa na tume gani? Mi ninachojua Kuna mmoja alitaka kumuua mwenzake,akafa yeye. Ameisha oza sasaiv. Kwisha habari yake!View attachment 1822763
k
Usisahau kuwa wakati huyo Diamond anamsifia huyo mwendakuzimu yeye kama Rais alikuwa akiwagawa Watanzania kwa itikadi. Alikuwa anazunguka nchini akitangaza kutowapelekea maendeleo waliochagua upinzani huku kodi zao anakusanya.

Watanzania hao hao wasiokubaliana naye walikuwa wakitekwa, wakiteswa na kupotezwa (wakiuawa) lakini Diamond alifanya nini...alikuwa anampongeza! Je nyakati hizo siasa ilikuwa uadui?

Anayejumuika na kushirikiana na kumsifu mtesi wako utamwitaje? Acheni hizo, mtu huvuna alichopanda...kama alipanda mawe atavuna jiwe!
Sasa kama ni hivyo kwanini mnamshambulia diamond tu peke yake wakati wasanii walikuwa wengi! konde boy je?
 
Ila kusema ukweli wanaharakati ni njaa inawasumbua binafsi nadhani kama Taifa tujitajidi yupunguze huu umaskini watu wakiwa busy watapumzika kuganga njaa Kwa kuwaharibia wenzao
 
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz!

Babu Tale ameshangazwa na watu hao na kusema baada ya watu kama Tundu Lissu kushindwa kuichafua nchi hivi sasa wamehamia kumchafua mtu mmoja anayejipatia mkate wake kupitia muziki kwa kuiwakilisha nchi yake vizuri sana kimataifa.

Babu Tale amesema watu hao ni wanafiki na hawatafanikiwa kwani riziki anatoa mwenyezi Mungu pia hizo tuzo haziamuriwi na kura za hao wanaharakati wanafiki.

Huwezi kuhubiri Demokrasia huku ukiwananga wenzio wanaochagua wanachokipenda, Wasafi ipo CCM kabla ya hao wanafiki wa mitandaoni.

View attachment 1821519
Huyu jamaa ubunge wake wa kupewa mwisho wake ni msimu huu tu
 
Once the most anticipated upcoming politician to ever touch the land of Tanzania, how the fvck did he end up to this? Total disgrace!
And to be honest, Diamond has proven more matured than lissu...he stayed quiet on this issue...
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom