Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

Babu Tare mwambie mwanao awe makini sana na mambo ya siasa, wewe na yeye hamuwezi kushindana na wanaharakati - wale wana followers ma million kwa ma millioni duniani kote... sasa kwa kuanza tu hizi award za mwaka huu ataangalia kwa TV kama sisi.

Tulitegemea utakuwa mpole na kumwombea msamaha ila tunaona ndiyo unazidisha petrol.
 
Mkuu wewe najua una uelewa mzuri tu na hata jibu lako linajieleza
Maana yangu hata diamond akijitanabaisha kwamba ni ccm mawe ya nini? tuchukulie 2025 anagombea uraisi na akapata unataka kuniambia atawahudumia waccm tu?
ILA sikatai wapo WAJINGA tena wengi tu wanaodhani siasa ni uadui na ndio hao unaowazungumzia.
Kuwa CCM,CHADEMA.CUF,ACT au NCCR.sio dhambi na si uadui na huku mtaani tunaishi hivyo(kindugu)
ukiingia ktk siasa au ukishakuwa na ushabiki wa kisiasa au mpira hasa wa miguu haya lazima uyatarajie.....raiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa ili uwe shabiki mzuri wa simba au yanga lazima ujue kubishia ukweli wa timu pinzani au kutetea uongo wa timu yako kwa nguvu zako zote........

Wana harakati siyo wa puuzia hata kidogo. They can tarnish your image mpaka ushangae. Kumbuka hata UN huwasikiliza sana.....ni watu wa hatari
 
Chaguliwa na wewe kuingia BET kama ni rahisi
 
Inashangaza kuona watu wanaohubiri demokrasia hawataki mtu mwingine awe na uhuru wa kushabikia chama tofauti na chao.

Diamond, wasanii kiujumla, wanahaki zote kama wananchi wengine kuwa wanachama na kushabikia chama wakipendacho.

Shida sio kushabikia shida alikuwa anashabikia nini? uwaaji wa demokrasia au alikuwa anashabikia nini? mbona akina Ali Kiba hawakuwa na kiherehere cha domo?
 
Mazingira walioishi kina Marley na Makeba ni tofauti na haya ya Tanzania.

Huko ambako wanajisifu kuwa watetezi wa haki kuna yale yale maovu na udhaifu kama huku kwingine panapolazumishwa paonekane pana udhalimu.

Ni mtafutaji wa riziki anayetazama maslahi yake kama wewe na mimi.

..waswahili wanasema " safari ni hatua. "

..Tulikuwa tumeianza safari ya kuelekea kwenye udikteta kamili, udhalimu, na ukatili.

..Magufuli alikuwa ameanza kusimika MISINGI ya utawala wa kidhalimu na Diamond na wasanii wa aina yake walikuwa " wawezeshaji " wa zoezi hilo.
 
ukiingia ktk siasa au ukishakuwa na ushabiki wa kisiasa au mpira hasa wa miguu haya lazima uyatarajie.....raiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa ili uwe shabiki mzuri wa simba au yanga lazima ujue kubishia ukweli wa timu pinzani au kutetea uongo wa timu yako kwa nguvu zako zote........

Wana harakati siyo wa puuzia hata kidogo. They can tarnish your image mpaka ushangae. Kumbuka hata UN huwasikiliza sana.....ni watu wa hatari
Lakini suala la wasanii kusapoti chama fulani nyakati za kampeni nchini mwetu halijaanza leo ni la tangu na tangu iweje iwe safari hii?
AU kuna jingine dogo kawakosea chadema?
AU dogo kagonga demu wa kiongozi huko chamani? manake kwenye uzinzi dogo yupo fiti.kama sivyo nini kimewaudhi chadema? kwanini isiwe kwa wasanii wengine? akina KONDE BOY JE?
 
Shida sio kushabikia shida alikuwa anashabikia nini? uwaaji wa demokrasia au alikuwa anashabikia nini? mbona akina Ali Kiba hawakuwa na kiherehere cha domo?

Wasanii karibu wote wamefanyia kampeni CCM, you can't foul them kwa kujitafutia ridhiki zao na kutimiza haki zao za msingi za kushabikia vyama wanavyovipenda.

Ali Kiba na hao wengine hawapigwi mawe sababu wamefulia, hawajawa nominated kama Dayamondi. Kama ingekua wao nao wangeshambuliwa hivi sasa. Mti wenye matunda ....
 
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz!

Babu Tale ameshangazwa na watu hao na kusema baada ya watu kama Tundu Lissu kushindwa kuichafua nchi hivi sasa wamehamia kumchafua mtu mmoja anayejipatia mkate wake kupitia muziki kwa kuiwakilisha nchi yake vizuri sana kimataifa.

Babu Tale amesema watu hao ni wanafiki na hawatafanikiwa kwani riziki anatoa mwenyezi Mungu pia hizo tuzo haziamuriwi na kura za hao wanaharakati wanafiki.

Huwezi kuhubiri Demokrasia huku ukiwananga wenzio wanaochagua wanachokipenda, Wasafi ipo CCM kabla ya hao wanafiki wa mitandaoni.

View attachment 1821519
Ukiona mtu anamtumainia Babu Tale na kumuona ndio role Model wake basi huyo Mtu yuko state za Mwishoni kabla ya kuanza kuokota Makopo
 
Babu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Mnapenda watu wawakalie kimya, si ndio, mnajisikia mmeshinda wenyewe
 
Mkuu wewe najua una uelewa mzuri tu na hata jibu lako linajieleza
Maana yangu hata diamond akijitanabaisha kwamba ni ccm mawe ya nini? tuchukulie 2025 anagombea uraisi na akapata unataka kuniambia atawahudumia waccm tu?
ILA sikatai wapo WAJINGA tena wengi tu wanaodhani siasa ni uadui na ndio hao unaowazungumzia.
Kuwa CCM,CHADEMA.CUF,ACT au NCCR.sio dhambi na si uadui na huku mtaani tunaishi hivyo(kindugu)
Usisahau kuwa wakati huyo Diamond anamsifia huyo mwendakuzimu yeye kama Rais alikuwa akiwagawa Watanzania kwa itikadi. Alikuwa anazunguka nchini akitangaza kutowapelekea maendeleo waliochagua upinzani huku kodi zao anakusanya.

Watanzania hao hao wasiokubaliana naye walikuwa wakitekwa, wakiteswa na kupotezwa (wakiuawa) lakini Diamond alifanya nini...alikuwa anampongeza! Je nyakati hizo siasa ilikuwa uadui?

Anayejumuika na kushirikiana na kumsifu mtesi wako utamwitaje? Acheni hizo, mtu huvuna alichopanda...kama alipanda mawe atavuna jiwe!
 
Wagawe na wewe watanzania kama ni rahisi hivyo . Kenge kabisa
 
Ukiona mtu anamtumainia Babu Tale na kumuona ndio role Model wake basi huyo Mtu yuko state za Mwishoni kabla ya kuanza kuokota Makopo
Babu Tale ni mbunge ambap hutakaa uupate
 
Uchwara
Screenshot_20210618-172228_WhatsApp.jpg
 
Naona babu tale kundi lake la tiptop kalitosa kabisa kwa ajili ya pesa za diamond
 
Back
Top Bottom