Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

Mimi mpaka kesho ukiniambia tale ni mbunge huwa siamini. Imagine tu Tale ni Mbunge then kina Lissu, Mbowe, Lema, Sugu, Zitto, Heche, Msigwa eti sio wabunge. Watanzania tujitafakari kama tunataka kusonga mbele.
 
Kinanani unaongelea nawewe kilaza!! Tatizo kunavitoto havina elimu vimelogaaa vikapata pesa na umaarufu sasa mnadharau wakubwa zenu wasomi!!
Usomi bila pesa ni fujo tu, umeshaambiwa CV ya mwisho ni pesa
 
Ni watu wa matukio ndio sababu wanaitwa wanaharakati. Yanapopita yale yanayowafanya wafungue midomo na kuongea huwa wanapotea mpaka yakiibuka mengine siku za mbele.

Diamond ametumia nguvu, akili na ubunifu mpaka kufika alipofika leo hii. Ukimchukia na kumuwekea nongwa ili asifanikiwe unakuwa sawa na yule anayeupaka rangi upepo.

..kuna suala la makatili vs wanyonge.

..upande wa dhuluma vs haki.

..mwanamuziki mkubwa kama diamond hatakiwi awe upande mmoja na makatili wanaodhulumu haki za wanyonge.

..diamond ajifunze toka kwa bob marley, miriam makeba, mohamed ali, na wengine waliosimama imara kutetea haki.
 
Wananchi wa Morogoro kusini walimtuma kusema hayo?
 
Ngoja tuone iyo tarehe 26/6/2021 itakuwaje
 
Ila Lisu yuko sahihi?
Hayuko sahihi, ila kwa mtazamo wangu, na kwa sababu tayar suala lenyewe limeshakua kwa namna lilivyo, na kwakuzingatia maslahi ya kibiashara kwa Diamond, wangejaribu kuwa na kauli zinazojaribu kutoa damage control na sio kuendeleza vita ya kisiasa.
Siungi mkono harakati za kumkwamisha Diamond maana naamini ni haki yake kua na mrengo wake kisiasa.
 
Back
Top Bottom