Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgombea wenu aliyeangushwa ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa chama chenu kasema na unaona yeye sio mwanasiasa ajabu meneja wa mtu mnayemsema yeye akae kimya!??Babu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Kwa sababu mnaogopwa au? Msijibiwe nyie nani?Babu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Madhala ya kuokota ubunge bila kutarajia ndo aya Sasa,Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz!
Babu Tale ameshangazwa na watu hao na kusema baada ya watu kama Tundu Lissu kushindwa kuichafua nchi hivi sasa wamehamia kumchafua mtu mmoja anayejipatia mkate wake kupitia muziki kwa kuiwakilisha nchi yake vizuri sana kimataifa.
Babu Tale amesema watu hao ni wanafiki na hawatafanikiwa kwani riziki anatoa mwenyezi Mungu pia hizo tuzo haziamuriwi na kura za hao wanaharakati wanafiki.
Huwezi kuhubiri Demokrasia huku ukiwananga wenzio wanaochagua wanachokipenda, Wasafi ipo CCM kabla ya hao wanafiki wa mitandaoni.
View attachment 1821519
Hujitambui Kumbe.....Wapiga kura ni akina.nani?!Na Vipi wamemuathiri Mondi.kwenye mission yake?Mgombea wenu aliyeangushwa ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa chama chenu kasema na unaona yeye sio mwanasiasa ajabu meneja wa mtu mnayemsema yeye akae kimya!??
Pumbavu sana nyie hata hivo wamewastahi Sana wangeweza kutoka na kuomba msaada kwa wanaccm waliofaidika na huduma ile.
Kwani ni kosa kuwa CCM au kuifanyia kampeni!?
Diamond sio mwanamuziki bali ni muimba matusi, hamna sanaa kabisaKwaiyo kijana akisifia wanaotutesa sisi tunapaswa kumshabikia tuu eeh!! Acheni upuuzi wenu kaambieni hako kadogo kasisifie mambo yahovyo halafu sisi tumsapoti mambo yake ndio maana kanaimbaga matusi tu
Ila Lisu yuko sahihi?Babu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Unamsifia atakuwa mumeo huyo. Ukipata mwanaume akikukoleza miti fresh unamuona kama mungu vile.Hutakaa umfikie hata robo tu ya maisha yake. Yeye ni mbunge wewe ili ule lazima ufue boxer za mbowe
nani kamtukana na kwanini hampeleki mashtaka polisi kama kweli mmetukanwa??Kwani ni lzm kumtukana Diamond?
Hebu kaokote na wewe tuone
Na vipi kuhusu. Yeye hakuliingilia kisiasa? Pumbavu!Babu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Asipokaa neutral asilalamike na wewe usilalamike tunapokupinga. Unalilia lia nini wewe na hicho kimdudu kinachoitwa Babu Tale. Yaani sisimizi Tale anamtishia nyau tembo LISSU! Duniani kuna vituko.Yani akae neutral kukufurahisha wewe?
Jinga kabisa
Siasa ni nini haswa? Muulize babu Tale.Wanafiki nyinyi lazima mjibiwe
Wana Mrogoro ndo walichomtuma akaongee Bungeni sio?Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz!
Babu Tale ameshangazwa na watu hao na kusema baada ya watu kama Tundu Lissu kushindwa kuichafua nchi hivi sasa wamehamia kumchafua mtu mmoja anayejipatia mkate wake kupitia muziki kwa kuiwakilisha nchi yake vizuri sana kimataifa.
Babu Tale amesema watu hao ni wanafiki na hawatafanikiwa kwani riziki anatoa mwenyezi Mungu pia hizo tuzo haziamuriwi na kura za hao wanaharakati wanafiki.
Huwezi kuhubiri Demokrasia huku ukiwananga wenzio wanaochagua wanachokipenda, Wasafi ipo CCM kabla ya hao wanafiki wa mitandaoni.
View attachment 1821519
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz!
Babu Tale ameshangazwa na watu hao na kusema baada ya watu kama Tundu Lissu kushindwa kuichafua nchi hivi sasa wamehamia kumchafua mtu mmoja anayejipatia mkate wake kupitia muziki kwa kuiwakilisha nchi yake vizuri sana kimataifa.
Babu Tale amesema watu hao ni wanafiki na hawatafanikiwa kwani riziki anatoa mwenyezi Mungu pia hizo tuzo haziamuriwi na kura za hao wanaharakati wanafiki.
Huwezi kuhubiri Demokrasia huku ukiwananga wenzio wanaochagua wanachokipenda, Wasafi ipo CCM kabla ya hao wanafiki wa mitandaoni.
Kujibishana na huyo tale na wenzake ambao hamnazo kichwani hata tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa hawaifahamu ni kupoteza muda bure. Kiache kimewekwa hap mjengoni kitulie ukikileta huku kwenye vichwa hakitaweza shule manati. Subirini muone kama hiyo tuzo mtachukua ndiyo ujue maana ya uanaharakati na ubunge wa kupewa.