Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

Ni watu wa matukio ndio sababu wanaitwa wanaharakati. Yanapopita yale yanayowafanya wafungue midomo na kuongea huwa wanapotea mpaka yakiibuka mengine siku za mbele.

Diamond ametumia nguvu, akili na ubunifu mpaka kufika alipofika leo hii. Ukimchukia na kumuwekea nongwa ili asifanikiwe unakuwa sawa na yule anayeupaka rangi upepo.
 
hana Akili na ajue kuwa anaweza asirudi tena bungeni kwa sababu yupo bungeni kwa kura za wizi. mjinga sana huyu
 
Mbunge takataka huyo
 
Nyumbu hawawezi kuelewa
 
Lema ni mpuuzi tu, ila Lissu siwezi kumlaumu labda zile risasi zimeathiri ubongo , badala wajenge chama chao kilichooza wanaangaika tuzo ya BET
 
Sidhani kama amemaliza hata darasa la saba huyo ndio maana Busara Hana, hachagui cha kuongea kukosa uchawi hasingekua mbunge
Roga na wewe ukawe mbunge, Tale harakati kitambo yule
 
Kwaiyo kijana akisifia wanaotutesa sisi tunapaswa kumshabikia tuu eeh!! Acheni upuuzi wenu kaambieni hako kadogo kasisifie mambo yahovyo alafu sisi tumsapoti mamboyake ndomana kanaimbaga matusi tuu, stupid!!
Kwa akili hizi mbunge mmoja kweli mlistahili
 
Diamond ni mmoja tu kati ya wengi wanaotakiwa kuwajibishwa kwa kuunga mkono wauaji,wezi,waoneaji na majambazi wa awamu ya 5. This marks the end of Diamond,mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…