Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
mkuu ... mungu ni yule yule ...jinsi ya kumjua , kumheshimu na kumwomba ndiyo inayopelekea kuwa na imani tofauti ...... imani anayosema babu ni ya aina yeyote ile ....! wamepona watu wa imani mbalimbali na hakuna doubt ya imani fulani kwa babu ...
Niulizacho hapo ni kiwango cha imani wala si dini!!!
- Kama una kiwango kikubwa basi unapona sanaaaaa
- Kama una kiwango kidogo unapona kidogooo
- Kama huna imani basi huponiii kabisaaa