mkuu ... mungu ni yule yule ...jinsi ya kumjua , kumheshimu na kumwomba ndiyo inayopelekea kuwa na imani tofauti ...... imani anayosema babu ni ya aina yeyote ile ....! wamepona watu wa imani mbalimbali na hakuna doubt ya imani fulani kwa babu ...
Niulizacho hapo ni kiwango cha imani wala si dini!!!
- Kama una kiwango kikubwa basi unapona sanaaaaa
- Kama una kiwango kidogo unapona kidogooo
- Kama huna imani basi huponiii kabisaaa
Ama sivyo mkuu
Wanaokufa ni sehemu ya mpango mzima wa matibabu.:A S 13:
kiwango kikubwa kinapimwa na nini kilograms, millimeters, centigrades, kilowatts, Megabits....... magnitude ya imani haipo .... imani is too personal ..... kuamini ni kujua mungu yupo na kufuata matendo yake
Kupima ufanisi wa kitu kuna njia nyngi: mfano, ufanisi wa mkandarasi unaweza kupimwa kwa kupima ubora wa jengo au barabara aliyojenga na si kukagua vyeti vyake au zana alizotumia. Nawashauri wapime wagonjwa kama wamepona au la.
Kwa nini YESU alisema ukiwa na imani kiasi cha chembe ya haradani anaweza kuamisha mlima! Unafikiri hapo unafikiri nini? Inamaana Imani ina kiwango tena vinatofautina kabisa
Kwa ufahamu wangu, babu kazuiliwa kwa muda kutoa huduma kutokana na wingi wa watu na mazingira magumu ya huduma za kijamii kama maji, choo, vyakula, barabara, malazi nk. Kazuiliwa kwa muda mpaka waliopo waishe ndio wengine waendelee kwenda.
Kiukweli katika hili serikali iko sahihi.Nyinyi mnataka watu wakanyagane wauane kisa wanataka dawa.mnatakiwa muangalie ukweli wa mambo.
uwezekano wa magonjwa ya mlipuko no mkubwa sana.je wattu wakipata kipondupindu cha ghafla na wakati hamna vyoo itakuwaje je hamjui serikali yetu itaonekana bomu kwa nini haikuweza kudhibiti mapema.
Je upatikanaji wa maji yenyewe yanapatikan awapi? Je haviingiliwi na uchafu? uchemshwji wake.na vyombo vina usafi wa kiasi gani,kikombe chababu nasikia huwa hakusafishwi,maana ndicho alichopewa na mungu akitumie kugawia dawa.
sasa wandugu tuipe serikali nafasi kutafiti mambo yote hayo na ikijiridhisha basi babu ataendelea na utibabu wake.
Ktk utafiti uliofanywa imeonekana kuwa tanzania ndio nchi ya mwanzo barani africa kwa kuamini mizimu, uchawi na ushirikina. Haya nendeni wajinga.
kwa nini unaita watu kuwa ni wajinga? Nikupige ban?