Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Na Wamasai pia....Wakolomije watahamia huko Hahahahahaha
Babu alikuwa shida unaambiwa....Babu aliwakomesha sana ,Mkuu wa nchi ataenda tena lini Samunge? Lukuvi ndani,wasira yumo akina mrema wamo babu noma sana
Mkemia,haaa haaa makoti yake yalikuwa yanatisha
Itatibu ugonjwa unaoitwa Vyuma Vimekaza!Ya Safari hii itatibu gonjwa gani
Nguvu za kiumeYa Safari hii itatibu gonjwa gani
Kuna mdau alimshauri aongeze na kitafunioJero jero zimemnenepesha sana, kanenepa! Ila raundi hii awe mbunifu, usawa mgumu watu hawaingizwi kingi kirahisi.
Anacheki kama imekidhi viwango kama alivyocheki kiatu cha afisa Magereza. 😀😀Mkemia,haaa haaa makoti yake yalikuwa yanatisha
Mimi mgeni MkuuKama namjua ivi huyu jamaa.