Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona ilianza mwaka jana mkuuHapana..alisema nadhan Feb
yes!HUU NDO MUDA WA KUMKAMTA MUONGO AU KUMPATA SHUJAA WA TANZANIA NA DUNIA KWA UJUMLA
teh teh!Yaani watu tunaukimbia huu ugonjwa na yeye anataka apelekewe wagonjwa
Kweli hii Siri ya kifo aijuaye ni Mola tu
RIP in advance
Sent from my iPhone using Tapatalk
yes! anachokihitaji..ili watu waamini.Kwani kalazimisha? Wapelekwe wachache tuone matokeo!!!
teh tehTumpeleke rais akafanyiwe majaribio kisha raia watafuata
Tena babu kakosea sana. Angesema inazuia Coronavirus hapo angepata wateja wengi sana.
hakikaTena babu kakosea sana. Angesema inazuia Coronavirus hapo angepata wateja wengi sana.
Namaanisha muda aliosema hapa bongo ilikua bado shwariCorona ilianza mwaka jana mkuu
Hapo sawa....ila yawezekana aliona uelekeo mhuni yule.Namaanisha muda aliosema hapa bongo ilikua bado shwari
Nchi yetu💜💖💖
Kwani wakati ule mmekusanywa Samunge mliambiwa na nani ?
Hapo sawa....ila yawezekana aliona uelekeo mhuni yule.