#COVID19 Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

#COVID19 Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

Hivi producer wa Contagion yuko wapi,,? Anasemaje kuhusu uhalisia wa kinachotokea na idea yake juu ya Covid'19 katika Cinema yake,,
 
Huyu Mzee amekumbuka zile jero (500) alizokusanya kipindi kile.
 
Wewe Babu na TISS mliwafanya watanzania wajinga sana sasa hivi wameamka kidogo badilisha style.
 
Huyu mzee ndiye alifanya jinsi gani Watanzania tuonekane vilaza.
 
1587615901908.png
 
Mzeee kaanza.

Na wengi wataenda... Ila kabla ya corona kuna clip yake moja, alikua anasema kaoteshwa kuna janga .

Sasa sijui ndo hili.


Maisha ujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu hata Mimi nimekua nikitafakari clip iyo nafikili aliojiwa na ayo TV
Alisema lipo tetemeko litaikumba dunia.nchi za ulaya zitaathilika sana kuliko nchi za bara la afrika
 
Kwa vile tumesisitizwa sana kurudi ktk asili yetu

Na kwa vile tumesisitizwa sana kutumia mvuke kuua virus vya korona wazo langu ni kwamba umefika muda sasa Babu wa Loliondo akapewa kijiti kutuongoza ktk mapambano haya naona huyu ni mtaalamu sana wa mambo ya mivuke na ubora wa miti inayotakiwa ktk mchakato huo

Ummy Mwalimu harakisha ili swala lifanikiwe kwa haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom