#COVID19 Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

#COVID19 Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

Kama anatibu kweli atangazwe shujaa wa taifa na kama ni muongo basi ni muda wake wa kumalizia maisha jela
 
Kwa vile tumesisitizwa sana kurudi ktk asili yetu
Na kwa vile tumesisitizwa sana kutumia mvuke kuua virus vya korona wazo langu ni kwamba umefika muda sasa Babu wa Leliondo akapewa kijiti kutuongoza ktk mapambano haya naona huyu ni mtaalamu sana wa mambo ya mivuke na ubora wa miti inayotakiwa ktk mchakato huo
Umm Mwalimu harakisha ili swala lifanikiwe kwa haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshampelekea wagonjwa!? Wamepona!?
 
Wahenga walisema kuwa mficha uchi hazai.

Kutokana na gonjwa hili la corona kuwa tishio kubwa hapa nyumbani na hata kule kwa mabeberu nimepata wazo.

Tuwaombe wale woote walio kunywa kikombe cha babu Mwaisapile wa loliondo watupe mrejesho kama kweli kile kikombe kilifanikisha kuyatibu MARADHI yao yaliyo kuwa yana wasumbua.

Huu ni ushauri tu ili kama kweli walipona basi nasi kama taifa tumkimbilie mzee wetu Mwaisapile atuponye. Najua kuna watu wakubwa sana walikwenda kwa babu.

In God we Trust
 
Muulize huyu mzee wa kujifukiza
Screenshot_20200423-204027_Google.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Phd ni za aina hii na wamiliki wa hivi (hata zaidi ya 4) hakuna haja kuwa nazo.Kalumanzila anatosha!
#PICHA Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina akizindua dawa inayosadikika kuwa inatibu COVID-19, iliyotengenezwa kwa kutumia mitishamba.

Rais Rajoelina amesema kuwa dawa hiyo imefanyiwa majaribio na kutibu wagonjwa 2, hivyo ameizindua ili kuonesha kuwa haina madhara.
FB_IMG_1587665315838.jpeg


In God we Trust
 
Huyu mzee yupo uraiani tu, nilijua yupo behind the bars.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Back
Top Bottom