#COVID19 Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

Asema watu waende wapate kikombe amesema hakuna ugonjwa unaoshindikana kutibika kwa dawa zake alizooteshwa na Mungu.
Bahati haiji mara mbili Kama akupiga pesa kipindi kile hatopiga tena
 
Kama anatibu kweli atangazwe shujaa wa taifa na kama ni muongo basi ni muda wake wa kumalizia maisha jela
 
Mmeshampelekea wagonjwa!? Wamepona!?
 
Wahenga walisema kuwa mficha uchi hazai.

Kutokana na gonjwa hili la corona kuwa tishio kubwa hapa nyumbani na hata kule kwa mabeberu nimepata wazo.

Tuwaombe wale woote walio kunywa kikombe cha babu Mwaisapile wa loliondo watupe mrejesho kama kweli kile kikombe kilifanikisha kuyatibu MARADHI yao yaliyo kuwa yana wasumbua.

Huu ni ushauri tu ili kama kweli walipona basi nasi kama taifa tumkimbilie mzee wetu Mwaisapile atuponye. Najua kuna watu wakubwa sana walikwenda kwa babu.

In God we Trust
 
Kama Phd ni za aina hii na wamiliki wa hivi (hata zaidi ya 4) hakuna haja kuwa nazo.Kalumanzila anatosha!
#PICHA Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina akizindua dawa inayosadikika kuwa inatibu COVID-19, iliyotengenezwa kwa kutumia mitishamba.

Rais Rajoelina amesema kuwa dawa hiyo imefanyiwa majaribio na kutibu wagonjwa 2, hivyo ameizindua ili kuonesha kuwa haina madhara.

In God we Trust
 
Huyu mzee yupo uraiani tu, nilijua yupo behind the bars.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…