Babu wangu wa hiyari kaninunia

Ndo kutongozwa kwenyewe huko we ulidhani hiyo bill matokeo yake yangekuwa nini
 
Aunt yangu, uji tu ulikutoa roho,
angalia asikuwekee na vya kuweka,
achana naye kiroho safi, pita tu kama awali.
 
Basi kwa taarifa yako ww ndo ulianza kumpa uji(siri ya mahusiano) ,yy kamalizia kwa vitendo vya wazi.
Hapa ndo Dada zetu/wake zetu nk ndo mnapokosea.
Kuna jinsi na namna ya kuishi na mwanaume ktk maeneo mbalimbali.kuna jinsi ya kuishi na kaka/mjomba/baba nk hawa unamahusiano ambayo huwezi kujivinjari nao.
Kuna jinsi ya kuishi na jirani/rafiki wa ndugu zako/wafanyakazi wenzako nk hawa unaweza kujivinjari nao.
Mume/boy friend hawa ndo unaojivinjari nao sasa wanawake wengi mnajichanganya hapa.kuna jinsi ya kuongea na mumeo/boy friend lugha,jinsi unavyojilegeza,jinsi unavyotoa shukrani,jinsi unavyocheka lazima iwe tofauti na makundi mengine ukiyachanganya tu.
Lazima upewe uji kisha UNUNIWE maana ulimuonesha siri ya ndani ya mumeo/boy friend ambayo babu aliinasa yy sasa akamalizia wazi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Uchoyo ni dhambi
 
wengine kucheka kwetu ni kawaida mkuu ... anisamehe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…