Babu wangu wa hiyari kaninunia

Babu wangu wa hiyari kaninunia

Ndo kutongozwa kwenyewe huko we ulidhani hiyo bill matokeo yake yangekuwa nini
 
Aunt yangu, uji tu ulikutoa roho,
angalia asikuwekee na vya kuweka,
achana naye kiroho safi, pita tu kama awali.
 
Basi kwa taarifa yako ww ndo ulianza kumpa uji(siri ya mahusiano) ,yy kamalizia kwa vitendo vya wazi.
Hapa ndo Dada zetu/wake zetu nk ndo mnapokosea.
Kuna jinsi na namna ya kuishi na mwanaume ktk maeneo mbalimbali.kuna jinsi ya kuishi na kaka/mjomba/baba nk hawa unamahusiano ambayo huwezi kujivinjari nao.
Kuna jinsi ya kuishi na jirani/rafiki wa ndugu zako/wafanyakazi wenzako nk hawa unaweza kujivinjari nao.
Mume/boy friend hawa ndo unaojivinjari nao sasa wanawake wengi mnajichanganya hapa.kuna jinsi ya kuongea na mumeo/boy friend lugha,jinsi unavyojilegeza,jinsi unavyotoa shukrani,jinsi unavyocheka lazima iwe tofauti na makundi mengine ukiyachanganya tu.
Lazima upewe uji kisha UNUNIWE maana ulimuonesha siri ya ndani ya mumeo/boy friend ambayo babu aliinasa yy sasa akamalizia wazi.
 
watu wazima hawatongozani siku hizi,unapima tu utu wa wema uliotendewa mwisho unamwachia aliamshe dude,me nimempa dada moja lifi siku tano,siku hiyo nimepitiliza mpaka hotelini kama masihara kaunta nimelipa 50,000 chumbani,bila hata kuomba,ile aibu ya utu niliomfanyia,kwahiyo acha uchoyo bwana hivyo ni vitu vya kupita tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Uchoyo ni dhambi
 
Hapa ndo Dada zetu/wake zetu nk ndo mnapokosea.
Kuna jinsi na namna ya kuishi na mwanaume ktk maeneo mbalimbali.kuna jinsi ya kuishi na kaka/mjomba/baba nk hawa unamahusiano ambayo huwezi kujivinjari nao.
Kuna jinsi ya kuishi na jirani/rafiki wa ndugu zako/wafanyakazi wenzako nk hawa unaweza kujivinjari nao.
Mume/boy friend hawa ndo unaojivinjari nao sasa wanawake wengi mnajichanganya hapa.kuna jinsi ya kuongea na mumeo/boy friend lugha,jinsi unavyojilegeza,jinsi unavyotoa shukrani,jinsi unavyocheka lazima iwe tofauti na makundi mengine ukiyachanganya tu.
Lazima upewe uji kisha UNUNIWE maana ulimuonesha siri ya ndani ya mumeo/boy friend ambayo babu aliinasa yy sasa akamalizia wazi.
wengine kucheka kwetu ni kawaida mkuu ... anisamehe bure
 
Back
Top Bottom