lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Basi kwa taarifa yako ww ndo ulianza kumpa uji(siri ya mahusiano) ,yy kamalizia kwa vitendo vya wazi.yeye kanipa offer ya uji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kwa taarifa yako ww ndo ulianza kumpa uji(siri ya mahusiano) ,yy kamalizia kwa vitendo vya wazi.yeye kanipa offer ya uji
Teh teh teeeheheekwa hiyo mkuu alikuwa ananilisha ni none kabla siku ya mnada ... ha hahahaha jf bwana
storyNdo kutongozwa kwenyewe huko we ulidhani hiyo bill matokeo yake yangekuwa nini
khee basi sawaBasi kwa taarifa yako ww ndo ulianza kumpa uji(siri ya mahusiano) ,yy kamalizia kwa vitendo vya wazi.
ha haha mnokwi kwi kwi kwiiiii😀😀😀🙄 wa mchele mtam sansan!
Hapa ndo Dada zetu/wake zetu nk ndo mnapokosea.Basi kwa taarifa yako ww ndo ulianza kumpa uji(siri ya mahusiano) ,yy kamalizia kwa vitendo vya wazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Uchoyo ni dhambiwatu wazima hawatongozani siku hizi,unapima tu utu wa wema uliotendewa mwisho unamwachia aliamshe dude,me nimempa dada moja lifi siku tano,siku hiyo nimepitiliza mpaka hotelini kama masihara kaunta nimelipa 50,000 chumbani,bila hata kuomba,ile aibu ya utu niliomfanyia,kwahiyo acha uchoyo bwana hivyo ni vitu vya kupita tu.
Kubali, Uchoyo dhambi[emoji39]nataka awe na furaha lakini kama anania ya kunimwagia uji mwingine me sitaki
Umepewa Bure,Mpe Mzee wa Watu.nataka awe na furaha lakini kama anania ya kunimwagia uji mwingine me sitaki
ha ha kakajambazi acha banaMuonjeshe hutajuta, muulize Jacky.
ha ha ha sitakiUmepewa Bure,Mpe Mzee wa Watu.
wengine kucheka kwetu ni kawaida mkuu ... anisamehe bureHapa ndo Dada zetu/wake zetu nk ndo mnapokosea.
Kuna jinsi na namna ya kuishi na mwanaume ktk maeneo mbalimbali.kuna jinsi ya kuishi na kaka/mjomba/baba nk hawa unamahusiano ambayo huwezi kujivinjari nao.
Kuna jinsi ya kuishi na jirani/rafiki wa ndugu zako/wafanyakazi wenzako nk hawa unaweza kujivinjari nao.
Mume/boy friend hawa ndo unaojivinjari nao sasa wanawake wengi mnajichanganya hapa.kuna jinsi ya kuongea na mumeo/boy friend lugha,jinsi unavyojilegeza,jinsi unavyotoa shukrani,jinsi unavyocheka lazima iwe tofauti na makundi mengine ukiyachanganya tu.
Lazima upewe uji kisha UNUNIWE maana ulimuonesha siri ya ndani ya mumeo/boy friend ambayo babu aliinasa yy sasa akamalizia wazi.
angenitafuna mzima mzima
sawa anti yanguAunt yangu, uji tu ulikutoa roho,
angalia asikuwekee na vya kuweka,
achana naye kiroho safi, pita tu kama awali.