BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Uji kweny lift mtamu sana asikwambie mtu, miss chagga babu mpweke sasa ivi namwona tu anavokuaza uku anajisonya, ..gaddamit!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haUji kweny lift mtamu sana asikwambie mtu, miss chagga babu mpweke sasa ivi namwona tu anavokuaza uku anajisonya, ..gaddamit!!
sitoi ha ha ha" Uji wangu umekunywa, utatoa hutoi..?
Sa ivi anatamani aweke gia namba 8 apae hewani, ...Babu babu babu babu umeramba asali unataka kuchonga mzingaaaa bwahahahahaha ha ha
ha ha hii kesi itaniletea aibuSa ivi anatamani aweke gia namba 8 apae hewani, ...Babu babu babu babu umeramba asali unataka kuchonga mzingaaaa bwahahahaha
Babu ishia apo apo ukipewa zaidi utakuja kufia kweny miili ya watu lol
kama kitumbua hapatiBabu kuna kitu anakitaka na naona kama atakipata
Kama nakuona vile babu kakung'ang'a uku ukiomba msaada kwa wadau bwahahahaha,...ha ha hii kesi itaniletea aibu
Si kila jambo la pesa hulipwa kwa pesa...angekuwa anataka umlipe pesa angelikwambia toka mwanzo.ngoja nitafute pesa nimlipe
Mzee mwenzangu hili file silo kabisa . Ni haramu kwetu. Chondechonde wazee nyumbani wasije wakajua. Tutalaaniwa
Eti unasemaje?siyo babu wa jf huyu anagawaga bia
babu unagawaga bia si ujiEti unasemaje?
duh unanitisha haya bwanaSi kila jambo la pesa hulipwa kwa pesa...angekuwa anataka umlipe pesa angelikwambia toka mwanzo.
Umeingia mkataba na huyo babu wa kulipa chochote atakacho hitaji pale tuu ulipo kubali kunywa uji wake.....
Hivi unafikiri babu huyo hana wajukuu wanao hitaji huo uji? unaweza kukuta wakati wewe umewekewa bill ya uji huko bibi yako hana hata mboga ya mchana na jioni wala sukari ya chai...
Kwa hiyo ili kuvunja mkataba na babu yako lazima mwende kwenye meza ya mazungumzo na umsikilize kinyume na hapo unaweza kuulipa huo uji kwa lazima.
we mzoee tu wazee wabaya sana wanatumiaga mpk madawa kukupata na huo uji sio bure kuna timing inafanyika bora umestukia mapemakama kitumbua hapati
ha ha aha ha acha nikimbieKama nakuona vile babu kakung'ang'a uku ukiomba msaada kwa wadau bwahahahaha,...
duh sirudi nyumawe mzoee tu wazee wabaya sana wanatumiaga mpk madawa kukupata na huo uji sio bure kuna timing inafanyika bora umestukia mapema
Yaani nikiwakuta mmeng'ang'aniana ivo naku weka YouTube bwahahahahaha ha aha ha acha nikimbie
ha hahahaYaani nikiwakuta mmeng'ang'aniana ivo naku weka YouTube bwahahahaha