Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Hayo mavyakula ya protein mengine husababisha gesi kurundikana sana tumboni na kuleta matatizo ya mmeng'enyo wa chakula tumboni.Nu nadra Sana vyakula vya Protein kumnenepesha mtu.
Vyakula vya wanga ndio hunenepesha zaidi kuliko.
Hoja nzito sana hii, na hasa hasa ni hao hao Ke wanaotandika mbili, tatu kwenye viti virefu, akienda msaalani tu ndipo Me hutumia fursa hiyo hiyo kuchanganya na madawa ya kulevya kwenye bilauri au chupa yake, kisha kujibebea mzigo kiulaaaaini na kwenda kuu-sodomize.Hata ulawiti ni chanzo cha wanawake wengi kushindwa kusukuma
Sababu kubwa ni nyonga kushindwa kufunguka, hata kama mtoto anauzito mdogo kama nyonga hazifunguki mtoto hawezi kushuka na kutoka, hao wa zamani walikuwa na vyakula wanavyokula vya kuweka nyonga sawa tangu watoto iwapo mtoto ni wa kike na kingine kutembea umbali mrefu iliwasaidia pia, kingine uzazi wa operation hausaidii kubana kwa bibi tena ndo unalegeza haswa maana kizazi kinakuwa na makovu tofauti na kuzaa kawaida ni rahisi kuweka mambo sawa labda wanaozaa watoto wengi.Ni nini sababu kubwa ya wamama wengi kujifungua kwa operation?
Wanapenda wenyewe, utasikia nataka kisu hata Kama kawaida inawezekana.Ni nini sababu kubwa ya wamama wengi kujifungua kwa operation?
Duh!..huu ni uraibu wa pombe uliopitiliza.Kuna mama hakunywa pombe kipindi chote cha uja uzito, baada ya kujifungua alikata Ndovu baridi 10 za papo kwa papo.
nilifundishwa kitu kimoja siku za nyuma na nikafanya utafiti nikakubaliana nao.Haya mambo ya upasuaji ni mambo ya mjini mjini tu....kijijini husikii haya mambo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
umeona mbali sanaHata ulawiti ni chanzo cha wanawake wengi kushindwa kusukuma
Wengine ni walevi wakiwa kawaida lkn wakiwa na mimba hawaitaki pombe kabisa[emoji848]Hivi sky kuna uhusiano gani kati ya mimba na kupenda pombe,, mi si mpenda pombe kabisa ila nikiwa mjamzito nakunywa pombe jamani hata zile kali na silewi,
Mi nikiwa hivi kawwida pombe nakunywa kwa kushawishiwa sana vichupa 2-3 ila ndo naharisha natapika nakuwa kikufakufa ila nisiwe kitumbo jamani pombe km zote hata 6 nagonga, za kienyeji nazo nagonga, na sipati hayo maluweluwe ndo Kwanza napenda harufu yake, ladha na silewiWengine ni walevi wakiwa kawaida lkn wakiwa na mimba hawaitaki pombe kabisa[emoji848]
Sijui kwanini
Sky Eclat
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahahaha we kiboko...mimba zina mambo jamani[emoji2]Mi nikiwa hivi kawwida pombe nakunywa kwa kushawishiwa sana vichupa 2-3 ila ndo naharisha natapika nakuwa kikufakufa ila nisiwe kitumbo jamani pombe km zote hata 6 nagonga, za kienyeji nazo nagonga, na sipati hayo maluweluwe ndo Kwanza napenda harufu yake, ladha na silewi