Baby Come Back.........

Habari muzuri mshiki.........
hebu nisome hapa chini utanielewa

I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!

Lakini kaka wakati mwingine, NATURE na WAKATI, vinaamuaga mambo tofauti na matarijio ya nafsi zetu.
 
Wakati wa ku-break up: We mwnamme gani wewe au mwanaume sarawili nini wewe? yani kwenye wanaume na wewe upo?

Then baadae: Baby come back please....(tena na lugha imebadilika)

My take: usanii tu
Kisiwa cha maluvy davy!!
 
Mwenendo wako wa leo una msg kubwa sana...Labda utakuja kabla ya 18hrs kutujuvywa kwa nini umeamua kupiga super glue kwenye keyboard yako!

Mh Babu mimi leo hapana sema kabisa....
my lips are tight sealed yaani.....:tape2::tape2:
I'll jus be readin....observing!!
 
Ila hicho kisima kikijaa mara ya pili utayaheshimu sana hayo maji au unasemaje P?
 
Nawashangaa mnaokuwa wakali..........Kila roho iataonja mauti........so kuachwa na kurudiana ni sehemu ya maisha mbona mnakuwa na mioyo migumu na kwa taarifa yenu hakuna viumbe DUNIANI vyepesi vya kusahau na kusamahe kama wanawake....na ndio maana wengine wnakuwa na HURUMA sana mpaka inapitiliza na akiombwa (maneno) anatoa kwa huruma na upendo.
 
Kisiwa cha maluvy davy!!
Habari yake BiG.....
naoana umemkumbuka Sam Wa Ukweli na Kisiwa cha malavidaviii......(sina raha sina............................ rahaaaaa....... Wapi Teamo?)
 
Wakati wa ku-break up: We mwnamme gani wewe au mwanaume sarawili nini wewe? yani kwenye wanaume na wewe upo?

Then baadae: Baby come back please....(tena na lugha imebadilika)

My take: usanii tu

Hivi kuna siku mapenzi yameacha kuwa usanii au mimi ndiye nazeeka vibaya?
 
Kwa kina mama tunasema mama huruma je na baba anae gawa dozi nae anaitwaje?
 
Mh Babu mimi leo hapana sema kabisa....
my lips are tight sealed yaani.....:tape2::tape2:
I'll jus be readin....observing!!
of coz without 4geting your Protector.....!!
 
kabisa babu tena utayaheshim sana na kuto kuyachafua na utayanywa taratiiiiiiibu lkn tatizo kinaweza kuwa kuna mtu anakitunza tayari na kukiwekea dawa ili maji yasiharibiwe hapo ndo kasheshe sasa!
Ila hicho kisima kikijaa mara ya pili utayaheshimu sana hayo maji au unasemaje P?
 
Hivi kuna siku mapenzi yameacha kuwa usanii au mimi ndiye nazeeka vibaya?

Babu mapenzi bila usanii na utundu sio mapenzi hayo

Mapenzi ni mjumuiko wa uchafu, usafi, lugha kali, lugha laini, aibu, mataching taching, mibusu, n.k
 
Babu mapenzi bila usanii na utundu sio mapenzi hayo

Mapenzi ni mjumuiko wa uchafu, usafi, lugha kali, lugha laini, aibu, mataching taching, mibusu, n.k
Leo hujaamkia Tip Top eh hommie? unamwaga mapwoitnti tu!!!
 
Mbona umeamua kuwabebesha mzigo lawama wanawake tu? Nadhani binadamu wote tuna mioyo ya nyama na hakuna mwenye moyo uliotengenezwa kwa stainless steel!
 
Babu mapenzi bila usanii na utundu sio mapenzi hayo

Mapenzi ni mjumuiko wa uchafu, usafi, lugha kali, lugha laini, aibu, mataching taching, mibusu, n.k

Sina cha kuongeza mpwa,

Hebu tumia coupon yangu kujihudumia chochote unachohitaji!
 
Kuna lijamaa lilikuwa linamtongoza rafiki ya mke wake...nikamwuliza mkeo akijua itakuwaje? Likanambia ntamwambia "Shetani alinidanyanya" Likafanikiwa kummega, na mkewe akajua wakatengana.

Badae jamaa likamfuata mke wake likamwambia warudiane kwa kuwa ulikuwa mpango wa shetani....Wakarudiana, hakikupita kipindi shetani akafanya vitu vyake jamaa likamuumiza tena mkewe.

Halafu babu DC haamini kuwa vitu vingine tunamsingizia shetani.

Mtu muumizaji huwa haachi kama jasiri asivoacha asili.....nisaidieani kumwambia MJ1 mkimuona.
 
Baby come back...????
Mtizamo wangu:
Inategemea na mwisho wenu wa mara ya mwisho (kuna wengine wanaachana na kurudiana hadi hawakumbuki idadi)...
MJ1 umezungumzia kuachana kwa kashfa, matusi n.k.
Sio vizuri kurudi nyuma uamuapo kusonga mbele, baada ya maumivu ya kuachana......
BTW: Hivi 'baby come back' inatakiwa imhuzunishe au kumfariji anayeombwa msamaha? Ngoja niombe mods waunganishe hii na ile ya kulivua pendo.....
**** Rose I never left....am always around....geuka nyuma utaniona nikiangalia kila hatua upigayo unapotembea....:love::love::love:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…