Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
jamani kuna mtu anaitwa KIBEBII humu ndani.......!naomba anipigie simu
Kwa mama Sande leo msiniache.
Eti mikscha ya bia na maembe mabichi inaweza kuwa dawa ya hangover?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani kuna mtu anaitwa KIBEBII humu ndani.......!naomba anipigie simu
asee pale ni kwa ''BABA SUNDAY''....mama sundey alipewa kubwa bado anaisubiri ''BABY COME BACK'' ambayo kwa necha ya ile kinywaji ni sawa na kumsubiri jizas......!Kwa mama Sande leo msiniache.
Eti mikscha ya bia na maembe mabichi inaweza kuwa dawa ya hangover?
asee pale ni kwa ''BABA SUNDAY''....mama sundey alipewa kubwa bado anaisubiri ''BABY COME BACK'' ambayo kwa necha ya ile kinywaji ni sawa na kumsubiri jizas......!
Nilishawahi kuumia, nayajua maumivu ya mapenzi. Nikimuona mtu anaumia najua maumivu anayoyapata. Usiombee.
Nilishaumizwa kiasi kwamba nimekuwa sugu. Niko tayari kuumizwa na watu 10 nyakati tofauti kuliko niumizwe na mtu mmoja mara mbili.
Babu hurts no body!Lakini babu jamani.........
kama umeshawahi kuumia hivyo,
na unajua vema maumivu yanakuwaje....
kwanini umuumize huyo mwenzio uliyenaye sasa???
as long as yeye hakuumizi....?
eti jamani........
Me too..!Babu hurts no body!
Babu hurts no body!
U hurt bibi when u go out with infiis............
Leo kwa Baba Sande hakukaliki na hii topic ya kufanya mrejesho.:smile-big::smile-big::smile-big:
Lakini Mrejesho muhimu wakuu wa infii
aisee nampigia simu Baba Sunday sasa hivi aweke lita kumi ya mbege aisee!Leo kwa Baba Sande hakukaliki na hii topic ya kufanya mrejesho.:smile-big::smile-big::smile-big:
Lakini Mrejesho muhimu wakuu wa infii
aisee nampigia simu Baba Sunday sasa hivi aweke lita kumi ya mbege aisee!
maanake leo patachimbika
Huu mrejesho labda uambatane na limbwata, azawaiz..........
tatizo wewe nikiagiza unaenda kunywa tandale siku hizi,umekuwa fidel80 weye?Usisahau na mdudu kilo mbili bana.:love:
aisee nampigia simu Baba Sunday sasa hivi aweke lita kumi ya mbege aisee!
maanake leo patachimbika
tatizo wewe nikiagiza unaenda kunywa tandale siku hizi,umekuwa fidel80 weye?
tatizo wewe nikiagiza unaenda kunywa tandale siku hizi,umekuwa fidel80 weye?
Aksante Baba Enock so should we say.............Baby Come back huwa ni kwa kina dada tu?..............mie nikimkosea kipenzi nisijihangaishe kumplease anirudie??