Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Hapo ukipata zile karatasi za kuandikia barua za rangi ya light blue zilizoandikwa By Air unajiona lazima demu akubali ombi lako,Zile zama hazirudi tena.
 
Ewaaa!! Halafu mwisho unamalizia "Wako akupendaye Sesten Zakazaka" 😀😀😀

Zile enzi haziezi rudi kwani kwa sasa kuna Utandawazi.
 
I
 
Babe Kabaye nayemjua mimi mwenye mvuto ni yule aliyekuwa East Africa Redio miaka ya 99-2000 huyu wa SASA ni BABE KABAYE TETEMA TIPWATIPWA, nakumbuka kibao flani hivi cha UB40 - The way you do the things you do alikipiga na alivyokuwa anaki introduce mpaka sasa bado kipo akilini mwangu.
 
Mkuu Kama kweli Kuna mtu anamfahamu amuambie basi aisee Yani dah I feel Kama ananidai hivi Yani hata Kama hajawahi kunikopesha chochote.


kama ulikuwa unaangalia DTV ama EATV kipindi hicho (sina hakika sana )... alikuwa anajulikana kama Sister Dread.. alikuwa ana endesha kipindi cha miziki ya vijana...alikuwa ana dreadlocks... sijui kama kazitoa... then inasemekana akatimkia ulaya ... karudi mama wa familia sasa anatumia jina halisi.... kimfananoi alikuwa anafanana na Fredinah a.k.a Rah P aliekuwa anaimba bongo flava
 
Mtoa mada fafanua basi uzuri wa huyo Kabae uko wapi? Sura, umbo, kitandani au ni kichwa sana! Mimi nipo Kisarawe kwa Mh. Kidoti........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaa!! Halafu mwisho unamalizia "Wako akupendaye Sesten Zakazaka" 😀😀😀

Zile enzi haziezi rudi kwani kwa sasa kuna Utandawazi.
Siku hizi vijana hawajui kubembeleza. Hawana yale maneno tuliyokua tunayaita "ya kumtoa nyoka pangoni". Maneno mataam sana ambayo binti hawezi kuchomoka

Sasa sijui siku hizi kama na Ke nao hawataki maneno matamu! Hebu tuambieni basi maneno ya kumtoa nyoka pangoni siku hizi hayawavutii tena ndio maana wanaume/vijana nao wameacha?
 
Hahahaaa! siku hizi hela ndio inamtoa nyoka Pangoni na sio maneno.
 
Umenifurahisha Sana pia sikujua kwamba kumbe ni mdada legendary kitambo toka enzi za dtv day Safi Sana preseviarence and discipline vitakupaisha juu zaidi mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…