Hahah zama zimebadilika sio kila homa ni malaria π€£π€£π€£zama zimebadilika... siku hizi pesa tu ndio ya kumtoa nyoka pangoni! Ukiwa na maneno hayo na hauna hela utajiongelesha kila siku katika blue ticks[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilijipima uzito nikaona siwezi nitaishia kupeperushwa tu. Ukiamua kuwa furushi inabidi uwe na uzito (wa kiuchumi) wa kueleweka. Labda miaka mitatu hivi ijayo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki umenichekesha!! Sasa ikawaje ukaghairi?
Dogo unazinguaπ€£π€£Nilijipima uzito nikaona siwezi nitaishia kupeperushwa tu. Ukiamua kuwa furushi inabidi uwe na uzito (wa kiuchumi) wa kueleweka. Labda miaka mitatu hivi ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante kwa matani Jael. Niko kwenye quarantine ya Korona na curfew juu usiku hakuna kutoka. Matani haya yanasaidia sana aisee. Good night na furushi lako [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Dogo unazingua[emoji1787][emoji1787]
Mweeeeh!! Good night.Asante kwa matani Jael. Niko kwenye quarantine ya Korona na curfew juu usiku hakuna kutoka. Matani haya yanasaidia sana aisee. Good night na furushi lako [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna mjinga aliniweza sana niko boding school boys tupu ikaitwa barua yangu assembly duuh kuipokea moyo ukafanya paaap barua imechorwa bonge la.kopa juu na mshale mkuuubwa na vijimaneno vya uchokozi,nikasema yap dem wa Msalato niliyekua namfukuzia long kitambo kaingia King loh kufungua nakuta njemba la Ndanda high school linanipa Hi mwanae,shenzy kweli yule jamaa."Utakapo kujua hali yangu mimi ni mzima wa afya hofu na mashaka n kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yanguβ€, usiku kucha silali nakuota wewe, nikinywa maji nakuona kwenye glasi....wallahi ntakunywa sumu juu yako"
Hapo barua imechorwa moyo na mkuki umepita katikati kuonyesaha namna gani mtu anaumia. Karatasi imepuliziwa marashi kama yote. Enzi zile hebu na zirudi basiii Shadeeyaπππ
Jamaa aliamua kukurusha rohoKuna mjinga aliniweza sana niko boding school boys tupu ikaitwa barua yangu assembly duuh kuipokea moyo ukafanya paaap barua imechorwa bonge la.kopa juu na mshale mkuuubwa na vijimaneno vya uchokozi,nikasema yap dem wa Msalato niliyekua namfukuzia long kitambo kaingia King loh kufungua nakuta njemba la Ndanda high school linanipa Hi mwanae,shenzy kweli yule jamaa.
Umepata nafuu ya kikohozi mkuu?πππNjemba la ndanda π€£π€£π€£π€£π€£
ahahaaa,mwenyewe umemwaga mistar ya nguvu halaf unaishia kubandikwa notice bodi hahaaaJamaa aliamua kukurusha roho
Kuna watu wengine walikua wanachoreshwa na madem waliopo boarding schools. Utakuta jamaa kajipinda kuandika, kapangilia mistari na kamaliza maneno yote matamu. Anatuma barua ya kumtongoza demu. Matokeo yake kule upande wa pili msichana anaibandika kwenye notice board au dormitory na kumfanya jamaa kitukoπππ
Maranyingi hii ilikua inatokea kama msichana hajamuelewa mvulana au anahisi sio wa hadhi yake au huyo binti maadili yake hayakubaliani kabisa na hizo issue. Uzuri ni kwamba utakuta wasichana wengine hapo shule hawamjui kabisa muhusika aliyedhalilidhwa
Tabia mbaya Sana halafu we mwenyewe unakuwa hujui ubaya uliofanyiwa dahJamaa aliamua kukurusha roho
Kuna watu wengine walikua wanachoreshwa na madem waliopo boarding schools. Utakuta jamaa kajipinda kuandika, kapangilia mistari na kamaliza maneno yote matamu. Anatuma barua ya kumtongoza demu. Matokeo yake kule upande wa pili msichana anaibandika kwenye notice board au dormitory na kumfanya jamaa kitukoπππ
Maranyingi hii ilikua inatokea kama msichana hajamuelewa mvulana au anahisi sio wa hadhi yake au huyo binti maadili yake hayakubaliani kabisa na hizo issue. Uzuri ni kwamba utakuta wasichana wengine hapo shule hawamjui kabisa muhusika aliyedhalilidhwa
Ilikua ni balaa mkuu. Lakini wanawake wakti mwingine wanashangaza sana. Kuna jamaa alifanyiwa hivyo na demu. Matokeo yake walikuja kuoana na hadi leo wako pamoja na watoto ni wakubwa tu sasa hivi!!!πππh
ahahaaa,mwenyewe umemwaga mistar ya nguvu halaf unaishia kubandikwa notice bodi hahaaa
Nafuu ilikua hapo tu mkuu, kwamba the rest of the girls hawamjui huyo aliyeandika maana utakuta aliyeandika yupo Dar au Dodoma barua anapelekewa demu Kilakala Morogoro au Kibosho Girls KilimanjaroTabia mbaya Sana halafu we mwenyewe unakuwa hujui ubaya uliofanyiwa dah
Mleta mada awe serious bnaa..View attachment 1419479
Wale wa picha...