Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Kwa hyo kumbe unawasiliana na x wako bila mimi kujua eeh? Ili iweje?Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
Hapana, ni game tu kuangalia watu wana msimamo gani juu ya exs wao na msimamo gani juu ya mahusiano yao.
Lesbian kumbe na wewe unaE-X?Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
For lesbians haina shidaMpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
It's a NO.Lol,
That dude waitin for ya reply.
Halafu unaweza kukuta one of my exs ni dada yako... dunia duara hii, lolLesbian kumbe na wewe unaE-X?
Tuna wivu balaa... haiwezi kutokea.For lesbians haina shida
Hahaha puppy nimeipenda hii,Aende wasaidiane kupata hifadhi. Mimi waniache mpaka mambo yangu yakae sawa nioe mwingine the wao waje niwape hifadhi banda la uani
Hahaha Mbalizi punguza ukauzu kwa mama mjengo.Huo ujasiri tu wa kunieleza hilo hana maana anajua nini kitafuata
Cha msingi bora ukae kimya tu au vipiDunia hii inaweza kukupa hasara usizo tarajia
Umeona eeh, watakua wamekumbukana haoKwanza kwanini awasiliane an ex wake? Ntawatoa wote wawili wakatafute pa kusihi pamoja
Hahaha vibaya hivyo maisha kushaurianaDem wangu akileta ujinga kama huo nitampa keleb moja matata na ataondoka na rambo ata kama imezuiwa
Jamanii, kusadiana kumeumbiwa binaadamHuyo wa kupelekwa Milembe, ana mtindio wa ubongo, ile kuthubutu ku take care your ex kwa mpenzi wako wa sasa, si ujasiri wala utu bali upunguani.
Atakwambia alimpigia tu out of no where kuomba msaada wa hifadhi.Kwa hyo kumbe unawasiliana na x wako bila mimi kujua eeh? Ili iweje?