Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
- Thread starter
-
- #61
Kitendo cha yeye kukuambia, ujuwe wana mawasiliano ya mda sana. Huenda pia kitumbua kinaliwa bila wewe kujua.
Well, kama ni case yako culture gal najua mnakuwa na wivu nyie balaa. BTW, I'd like to have two chicks at ago, it's been my fantasy [emoji12][emoji12]
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
Natoa msaada kwa wanaohitaji. Lakin si kwa wapumbav kama hao.Hahaha punguza hasira kusaidiana kupo jamani
nam nahitaji mtu wa kuwa nae kwenye relation
sifa zangu
male, mrefu sana.
uzito; 85 kgs
afya: nzuri
mawasilian: 0628548331
KabisaUmeona eeh, watakua wamekumbukana hao
SIWEZI KUWA SHARE HOLDER AMA CO-PARTNER NA MTIBWA SUGAR NDANI YA SHAMBA LANGU LA MIWA😂😂😂😂😂Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.
Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
Madame utatuandikia lini tenaKhaaaa.
That dude has balls made of steel.
Uyu mama nae angekuwa na tabia kama zako ungezaliwa?Ningezaliwa na mama mwingine
Ningezaliwa na mwingine.Uyu mama nae angekuwa na tabia kama zako ungezaliwa?
HahahaAkaishi polisi au magereza nyumba na chakula ni bure huko.
Shida hakuna kabisa.Unampa msaada tu. Kwani shda iko wapi