Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.

kwa hiyo we kinakuuma nn? mange kujulikana tajiri au?
 
ata kugawa chupi za vitenge kwa watu ni utajiri tosha, sema ni mbongo gani aliyeko majuu anagawia funs wake vyupi bure?

celebrity gani mbongo wa nje ana na fans, macelebrity wenye fans wako hapahapa bongo huyo muuza vitenge awe na mafans kwani ye ni star wa lipi muigizaji? Model au mwanamuziki? Tofautisha kati ya biashara na ustar na kati ya mashabiki na wateja.. Yani nyie wanunua vitenge ndo mmekuwa mashabiki wake kweli hamjielewi mwenzenu anatafuta umaarufu ili auze vitenge vyake nyie kaeni kumshupalia ana mali ana nini azidi kuwapa vyupi mumtafutie wateja.
 

Nashangaa mtu anashupalia utajiri na biashara utajiri hata ujaqualify kulipa VAT bado anajiita mfanya biashara mkubwa... Kweli ukosefu wa elimu anawachota wengi aisee
 

Sasa kama ukweli umesema si utuwekee basi ushahidi wa hiyo cv alivyoenda kuombea kazi huko... Kwani CV ni siri? Snitch wa kweli alete evidence ya hiyo tuamini ila kumsema mwingine bila evidence ni kama kuwa bias na upande mmoja. Na inaonyesha ni ushabiki tu usio na tija.
 
Nashangaa mtu anashupalia utajiri na biashara utajiri hata ujaqualify kulipa VAT bado anajiita mfanya biashara mkubwa... Kweli ukosefu wa elimu anawachota wengi aisee

Nahis uwepo wa kimambi humu.

Matajiri na watu wenye nazo sidhan kama wanatumiaga nguvu za ziada kujionyesha kuwa wanazo

Watu wenye ulimbukeni wa maisha na wenye kuishi maisha ya kubahatisha ndo wanaishi kama mange

Mange anajiona yeye ndo mtanzania wa kwanza kuolewa na mzungu, anajiona mzuri yeye yani kila kitu yeye wakat sio ukweli.

Kuna wa TZ kibao wanaish ughaibuni tena maisha ya kifahari kuzidi hata ya huyo kimambi na baadhi ya raia wenye nchi zao , mange ana ulimbukeni wa maisha , na wala hajiamini ndo maana anahangaika kutafuta sifa na umaarufu wa kijinga.
 
kwa hiyo we kinakuuma nn? mange kujulikana tajiri au?

we ndo kinakuuma sifa za kijinga huyo hawezi kuniumiza chochote mana na maisha yangu kinachonishangaza ni nyie kumtafutia ucelebrity kwa nguvu kwangu wa kawaida hv unajua tajiri au unaropoka i wonder change your mentality cwez kuumwizwa na yoyote njoo na evidence basi za kuonyesha utajiri wake i need strong evidence sio kubwabwaja hapa action speaks louder than words
 
Kitendo cha maada kuhusu mtu mwingne then watu wanaanza kumdiscus Mange na Mange mwenye hawafuati muingie katk blog yake,mnamfuata wenyewe af mnanza kukerwa na mashauzi yake,ye hatafut kiki ila nyie ndo mnampa kiki..naona thread kama mbili ivi ni za mtu mwngne lakini wenyewe mnamleta Mange kati hyo n evidence tosha kua kuna kitu kinawauma,kama hampend mambo yake mpotezeeni fanyeni yenu muachen na mashauzi yake..
 

Sidhani kama utajiri wake unakuhusu u should be busy thinking about improving your life rather than kukaa na kuwaza utajiri wa mange, just ushauri tu
 

Hahahaaaaa! KWA UMBEA WEWE! SIO SIRI ANGE UPLOAD ONLINE! KAIADRESS MAHALI FLANI SO NI CONFIDENCIAL REPORT!

Msitake ma SNITCH tupatwe na kash kash
 
Hahahaaaaa! KWA UMBEA WEWE! SIO SIRI ANGE UPLOAD ONLINE! KAIADRESS MAHALI FLANI SO NI CONFIDENCIAL REPORT!

Msitake ma SNITCH tupatwe na kash kash

Hahaha sasa huoni huo ndo utakuwa mtaji mkubwa kwa snitch mkipata hiyo cv lol!
 

Na kusingekuwa na umuhimu wakuweka hii forum humu kama yeye anawadiscuss wenzake huko kwenye blog yake si tuna mdiscuss humu.. Kama yeye hana muda kwa kuingia humu na sisi hatuna muda wa kuingia kwenye blog yake atleast ingekuwa website asingeandika upuuzi wake angeitumia kibiashara ila kwa vile blog bure aandike na kudiscuss wenzake huko na sisi tunaandika na kumdiscuss huku... Hatulipii na wala hatulipiwi bundle same kwake anaandika anachojiskia na sisi twadiscuss tunavyojiskia..
Kama kumdiscuss yeye ndo kigezo kuwa tuna wivu nae basi nayeye anavyo wasema akina sinta anawivu nao. Thats all
 

Those are not FACTS umedanganya umma...........

Shamim kasoma CBE ana DIPLOMA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…