Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
muamini lara 1 anaishi nae jirani
YA SHAMIMI FORM SIX YA KUANDIKIA MAKOMBE IKO WAPI.? Nijibu kwanza hili! Hahaaaaaaa! Halooo! Na mengine ya INTERNATIONAL BANKING NA MODERATOR.? Usinichumishe dhambi mie! Porsche na kirav haloooo!
wewe una fact zipi? we mwenyewe mshabiki maandazi.
waeleze hao hawajui, aonyeshe mali zake hadharani anazomiliki ili wamroge?hospitali tu alojifungulia watu roho zinawatoka sembuse mali anazomiliki?
Hamjambo binamuz...
mie u observer siuwezi napenda kuingia ndani niicheze ngoma
raha ya ngoma ingia ndani ucheze
Hivi kibongo bongo ukienda Agha Khan, Hindu Mandal n.k unapesa eeh wakati kuna watu ni ma office Messenger tu ila ofisi yao inabima za AAR au Jubilee mf na hao hata wakienda kutibiwa Agha Kan wataonekana wanazo na kuwaponda watumishi wa Umma wanaotibiwa na NHIF Mwananyamala lol!
hatujambo
Nawamisije!!! Too busy
huyo zeru zeru wake anamsitir kidgo anaonekana na yeye mbwa atleast anabweka bweka kidog mjini.
G d sheba agiza moja moja kwa mangi kama haupati maji ya dhahabu agiza bakheresa wazibue ,masikio hawajui
hivi zile anazooneshaga si ndio mali zenyewe au we ulitaka aoneshe nini tena..............
Kumbe ndio hivyo tu etii amekomeaa palee tu mjengo siuonagii eti naonaga garii tuuuu
Wewe kukomaa kumeingiliana nini na kumsaidia yani unaonyesha jinsi upeo wako ulivyo mdogo
G d sheba agiza moja moja kwa mangi kama haupati maji ya dhahabu agiza bakheresa wazibue ,masikio hawajui
Nawamisije!!! Too busy