Ulikua wapiiii
We hiyo Mortagage umeijua leo banaaa kwani ye ana kampuni au mumewe ana kampuni ya kuwauwezesha kufungua corporate account...
Maana kibongobongo Barclays na Stanbic kwa personal loan wanatoa Hadi million 70 tena unsecured scheme loan so si ajabu maana hizi bank hata US zipo na kama bongo zinamkopesha mtu hela hiyo tena bila hata security ya kiwanja wala nyumba tofaut na local bank kwa US si ajabu..
Usitishe watu na hizo theory za cash flow tulizo karirishwa NBAA kwenye CPA na reality huku bank wanatoa mikopo mikubwa bila dhamana na kama huyo mange alifanya kwenye hizo bank ukweli anaujua ila asemi atazidi kuwachota nyota anajua wengi hawajui wanashabikia vitu wasivyovijua. Speakn frm experience.
Hahahaaaaaaaaaaa! WITH ALL DUE RESPECT KUNA MIDUME NA NDEVU ZAO INASUTANA HUMU!hizi thred zingine heading muandike girls only
Haiwezi kuwa over jamani tupe facts za ukweli jamani au umeng'ang'ana anakopesheka lol hata akiba na acess bank wanakopesha so hata sinta alikopa akakopesheka hata milioni moja ila nayo ni mkopo.
Na issue na kupotea na kurudi sio sababu kumuogopa mtu fulani sema tu mtu unatingwa na issue nyingine ukipata muda inachungulia... Wengine humu ni housewifes wacha tuandaeandae ingaws umbea tunautaka lol!
Ujue huyu povu jingi tu linamtiririka... kukopeshwa ninayo mifano mingi sana ya watu walioko ulaya ambao security ni kazi zao tu na wamekopeshwa mikopo mikubwa ya kulipa hata kwa 30 years. huyu anajifanya mjanja na mtoto wa mjini ila bado sanaaa. kinachombeba ni kuwa muongeaji mzuri hata kwa yale ya uongo (mf. alisema shamimu ni form four while not, na mengine mengi tu hapa anasema kiushabiki). kwa ufupi wsubiri tu ronya wagawane.
Ndio umejidhiirisha kuwa Wanazo MBA si wamesema wanazo unless otherwise u upload cv ya huyo mdada unayedai kasingizia ana masters wakati hana ila bila huo ushaidi wote mnajigroup kwenye MBA kama Huyo shosti wako ni MBA basi na shoga yake sinta ni MBA....
Mimi kuna watu humu jfni SWORN ENEMIES siwezi hata kusoma walichoandika maisha yangu!
Ukimjua hakupi tabu kama anania ya kusema ukweli abishane na huyo Ngabu aliyesema ukweli othewise OMO imemjaa mdomoni mwache amalize mapovu yote.
Kwanza bibie mimba ilivyotungwa tu akaambiwa mama watoto wangu sitaki wapumue hewa ya vumbi...haooooo ufaransa. mimba imelelewa ufaransa hakuna kusema najisikia kichefu chefu nataka udongo (mambo ya 5 star udongo wa pemba utautoa wapi??). basi wakaiahi hoteli weeeeeee hadi muda wa kujifungua ukafika (hapo mieuro ya maana imelika hotelini), binti akajifungua hao tena wakakaa hadi mama watoto akapata nguvu ndio haoooo wakashuka bongo. Ila kabinti kawatu kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hadi leo. hata picha za sherehe na watoto ni watu walipost sio yeye. Kwa ushamba wangu kidogo Klyn akijishaua nitasema ana haki kwani apart from kula life wana investment za kufa mtu. Bibi wa kwa obama ukanye tikiti tu kwani kwisha habare yako.Ngoja aje Mrembo by Nature akupe story ya Klyn alipojifunguliaaaaaa hahhhhhahhha
yeah ni kweli abishane na Nyani ngabu tuliwaambia wakasema tuna wivu sasa ona ukweli ulipokuja hamna la kuongea
Si wabishane na Ngabu kama wabishi lol! Maandazi utawajua tu hayaa mu mquote huyo Nyani Ngabu mumbishie maana nyie mmesoma google mwenzenu anaijua... Kunatofaut kubwa kat ya kuona na kusimuliwa..
Cedai sinai its hollywoods glamour hospital google and see, wabongo bwana tumieni google
Jamanii nasubiri nione anaemquote Nyani Ngabu haaaahhhhhjaaaaa
HIVI WANAUME WANAHUDHURIA BABY SHOWER SIKU HIZI.? Nauliza wajameni? Hahahaaaaaaaaa! Halooooooo ya KITCHEN PARTY!
Si wabishane na Ngabu kama wabishi lol! Maandazi utawajua tu hayaa mu mquote huyo Nyani Ngabu mumbishie maana nyie mmesoma google mwenzenu anaijua... Kunatofaut kubwa kat ya kuona na kusimuliwa..