Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Owner wa los angeles lakers jerry buss alifia hiyo hospital so its a glamorous hospital tumie google jamani khaa sio wote tunaokaa tanzania tumefika muhimbili ni sawa na wanaokaa marekani sio wote wamefika cedar sinai all in all its her life her choice
 
HIVI WANAUME WANAHUDHURIA BABY SHOWER SIKU HIZI.? Nauliza wajameni? Hahahaaaaaaaaa! Halooooooo ya KITCHEN PARTY!
 
Jamani Mimi ninaogopa sana kumjudge mtu..... Shamimu ninamfahamu kwa karibu sana. Ninadiriki kusema Kuwa Kama tunaambiwa kila mtu Yukon responsible kwa happiness yake, why tumseme kwa Kuwa yeye amechagua kuishi maisha ya fur aha? Ndani Ana uh akiwa Kuwa baba Iqra alikuwa hampi karaha Shamimu? Mambo yao ya ndani hatuyajui sasa hayo ya alimwacha ili aolewe na mwenyepesa tunayatoa wapi? Shamimu alikuwa anakutana na watu wenye pesa hata kabla hajaolewa na Moedy, na bado akakubali kuolewa naye so hatuna uhakika Kuwa aliachana na Moedy kwa sababu ya kupenda pesa. Na pia amekuja kukutana na mumewe wa sasa Baada ya kuachana na Moedy. So tulsi judge mtu kwa habari za kusimuliwa.

Mange...... Mange anaishi maisha yake, ambayo Nina hakika Kuwa kwa Kuwa yako hivyo ndo maana ameamua kuyaweka hadharani....... Kabla ya kuolewa na Lance mange alikuwa na blog? Kama alikuwa nayo, je aliyaanika maisha aliyekuwa a nayo? So ni uamuzi wake pia......tukumbuke Kuwa we choose what we want people to know about us..........
 
We hiyo Mortagage umeijua leo banaaa kwani ye ana kampuni au mumewe ana kampuni ya kuwauwezesha kufungua corporate account...

Maana kibongobongo Barclays na Stanbic kwa personal loan wanatoa Hadi million 70 tena unsecured scheme loan so si ajabu maana hizi bank hata US zipo na kama bongo zinamkopesha mtu hela hiyo tena bila hata security ya kiwanja wala nyumba tofaut na local bank kwa US si ajabu..

Usitishe watu na hizo theory za cash flow tulizo karirishwa NBAA kwenye CPA na reality huku bank wanatoa mikopo mikubwa bila dhamana na kama huyo mange alifanya kwenye hizo bank ukweli anaujua ila asemi atazidi kuwachota nyota anajua wengi hawajui wanashabikia vitu wasivyovijua. Speakn frm experience.

Ujue huyu povu jingi tu linamtiririka... kukopeshwa ninayo mifano mingi sana ya watu walioko ulaya ambao security ni kazi zao tu na wamekopeshwa mikopo mikubwa ya kulipa hata kwa 30 years. huyu anajifanya mjanja na mtoto wa mjini ila bado sanaaa. kinachombeba ni kuwa muongeaji mzuri hata kwa yale ya uongo (mf. alisema shamimu ni form four while not, na mengine mengi tu hapa anasema kiushabiki). kwa ufupi wsubiri tu ronya wagawane.
 
Haiwezi kuwa over jamani tupe facts za ukweli jamani au umeng'ang'ana anakopesheka lol hata akiba na acess bank wanakopesha so hata sinta alikopa akakopesheka hata milioni moja ila nayo ni mkopo.

Na issue na kupotea na kurudi sio sababu kumuogopa mtu fulani sema tu mtu unatingwa na issue nyingine ukipata muda inachungulia... Wengine humu ni housewifes wacha tuandaeandae ingaws umbea tunautaka lol!

Heri umesema mama. Nimuogope naniiiiiiii??kwa mtonyo upi haswaaaa?? watu hatulipwi hapa so lazima tupotee kidogo tukapige dili ndio turudi
 
Si wabishane na Ngabu kama wabishi lol! Maandazi utawajua tu hayaa mu mquote huyo Nyani Ngabu mumbishie maana nyie mmesoma google mwenzenu anaijua... Kunatofaut kubwa kat ya kuona na kusimuliwa..
 
Lara1 hahah Hilo la wanaume kwenye baby shower hata mie nimejiuliza but nkamyuti maana huku kishumundu hata bby shower hatujui maana yake..... Hebu Nisaidie
 
Ujue huyu povu jingi tu linamtiririka... kukopeshwa ninayo mifano mingi sana ya watu walioko ulaya ambao security ni kazi zao tu na wamekopeshwa mikopo mikubwa ya kulipa hata kwa 30 years. huyu anajifanya mjanja na mtoto wa mjini ila bado sanaaa. kinachombeba ni kuwa muongeaji mzuri hata kwa yale ya uongo (mf. alisema shamimu ni form four while not, na mengine mengi tu hapa anasema kiushabiki). kwa ufupi wsubiri tu ronya wagawane.

Ukimjua hakupi tabu kama anania ya kusema ukweli abishane na huyo Ngabu aliyesema ukweli othewise OMO imemjaa mdomoni mwache amalize mapovu yote.
 
Ndio umejidhiirisha kuwa Wanazo MBA si wamesema wanazo unless otherwise u upload cv ya huyo mdada unayedai kasingizia ana masters wakati hana ila bila huo ushaidi wote mnajigroup kwenye MBA kama Huyo shosti wako ni MBA basi na shoga yake sinta ni MBA....

Hehehe hiyo MBA ya shabiki kibibi toka mwaka jana watu hawapumui humu. MBA zenyewe za Mzumbe na hapo UDBS au kwingineko (hehehehehe sitaki kusema mengi ila wengine mnajua mlivyozipata)?? manake toka asubuhi watu MBA, MBA hatulali...wengine wana PHD na bado wamekaa kimya hawasemi...ukiona unapiga kelele sana jua umevijulia ukubwani
 
Ngoja aje Mrembo by Nature akupe story ya Klyn alipojifunguliaaaaaa hahhhhhahhha
Kwanza bibie mimba ilivyotungwa tu akaambiwa mama watoto wangu sitaki wapumue hewa ya vumbi...haooooo ufaransa. mimba imelelewa ufaransa hakuna kusema najisikia kichefu chefu nataka udongo (mambo ya 5 star udongo wa pemba utautoa wapi??). basi wakaiahi hoteli weeeeeee hadi muda wa kujifungua ukafika (hapo mieuro ya maana imelika hotelini), binti akajifungua hao tena wakakaa hadi mama watoto akapata nguvu ndio haoooo wakashuka bongo. Ila kabinti kawatu kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hadi leo. hata picha za sherehe na watoto ni watu walipost sio yeye. Kwa ushamba wangu kidogo Klyn akijishaua nitasema ana haki kwani apart from kula life wana investment za kufa mtu. Bibi wa kwa obama ukanye tikiti tu kwani kwisha habare yako.
 
Last edited by a moderator:
Si wabishane na Ngabu kama wabishi lol! Maandazi utawajua tu hayaa mu mquote huyo Nyani Ngabu mumbishie maana nyie mmesoma google mwenzenu anaijua... Kunatofaut kubwa kat ya kuona na kusimuliwa..

Ngabu yuko US na kawafunga mdomo. povu lote kwishey sasa mlete urojo tunywe manake timbwili limepungua. NO FACT NO RIGHT TO SPEAK
 
Si wabishane na Ngabu kama wabishi lol! Maandazi utawajua tu hayaa mu mquote huyo Nyani Ngabu mumbishie maana nyie mmesoma google mwenzenu anaijua... Kunatofaut kubwa kat ya kuona na kusimuliwa..

wapiiiiiii lara1
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom