Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahahaaa naona nimeleta machafuko ya hali ya hewa mpaka nimeanza kurushiwa madongo though hayarushwi moja kwa moja.
Oh well...it is what it is. Ila watu wanapotosha mno kupita kiasi. Mpaka hata vyuo ambavyo haviko accredited na ambavyo degree zake hazitambuliki vinafisiwa.
Kaazi kweli kweli.
Lol kila nikichungulia uzi bado unatambaaa...watu wamekomaa hawakubali
Jamani mimi ninavyojua umbea nilioupata ni kuwa huyo Kylin clinic alifanyia AMI na kujifungua alijifungulia AMI hakuna cha ufaransa wala nini,
YES I EARN EVERY SINGLE PENNY YA HELA YA BUNDLE IN A VERY VERY VERY HARD WAY,! Kwani Dhambi mweeeeee?Kumbe wengine hata pesa ya bundle mpaka mkafanye kaziii hahhhhahhhhha sikujuaaaaa mieee
Heeeeee mbona kumepoa ghafla???? jamani kwani shetwani kapita humu?? heee raisi wa wabeba box kavuruga kijiwe ghafla watu wametawanyika???????????? wapi team ronya ronya?
Jamani mimi ninavyojua umbea nilioupata ni kuwa huyo Kylin clinic alifanyia AMI na kujifungua alijifungulia AMI hakuna cha ufaransa wala nini,
Rudi kwenye vyanzo vyako ukahakiki info yako. Mama alikuwa france na picha juu zilipigwa. samahani lakini mpnz.
YES I EARN EVERY SINGLE PENNY YA HELA YA BUNDLE IN A VERY VERY VERY HARD WAY,! Kwani Dhambi mweeeeee?
Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti
Hahahaaaaaaa! Home RAHAAAAAAAAA UTAMU ? VYOTE VYOTE!!! Mange Oyeeeeeeee! LA Oyeeeeeeeee! LELEEEEEEELEEEEEEE! AIIIIIIIIIIIIII!
Nashukuru Nimepoa kidogo! LOLEST!Pole.....
Rudi kwenye vyanzo vyako ukahakiki info yako. Mama alikuwa france na picha juu zilipigwa. samahani lakini mpnz.
Hahaaaa! Mi kule siandikagi, nandika INSTA tu, ( AND YES IM FOLLOWING HER) Mzigo si uliisha ule hata Arusha haukutosha? Hahaaaaa! ONE MANS POISON IS ANOTHER MANS MEAT,!Hahhhhahhha nakuonaga na kulee unaandikaa hiv hiv aisee mna kazii mmwambie awe anawaletea vinguo vizurii,vinguo gan vilee yaan ingekua mie ningemzaba siwez vaa nguo ya ajabu ajabu kama ilee
Hahhhahhhhahhhhahha
Pole.....
We nawe kwanini unamsema A HUMBLE GIRL kama Klyn? Funika kombe mwanaharamu apite! Waache waamini wanacho amini in no time watu wataanza kuharisha hapa mambo ya k, na wasengery wengine mtoto wa watu achufuliwe bureee!Bila samahani mpenzi,vyanzo vyangu ni google lol kidding
hii mada hata haijaisha....hapa tunaikeshea manake kesho may mosi so hamna kazi