Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahahaaa naona nimeleta machafuko ya hali ya hewa mpaka nimeanza kurushiwa madongo though hayarushwi moja kwa moja.
Oh well...it is what it is. Ila watu wanapotosha mno kupita kiasi. Mpaka hata vyuo ambavyo haviko accredited na ambavyo degree zake hazitambuliki vinafisiwa.
Kaazi kweli kweli.
hapana penye ukweli tiririka mkuu mana kuna wapotoshaji humu wengne kuona wengne hawana shule kila mtu akiweka yake patatosha