Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa naona nimeleta machafuko ya hali ya hewa mpaka nimeanza kurushiwa madongo though hayarushwi moja kwa moja.

Oh well...it is what it is. Ila watu wanapotosha mno kupita kiasi. Mpaka hata vyuo ambavyo haviko accredited na ambavyo degree zake hazitambuliki vinafisiwa.

Kaazi kweli kweli.

hapana penye ukweli tiririka mkuu mana kuna wapotoshaji humu wengne kuona wengne hawana shule kila mtu akiweka yake patatosha
 
Hahahaaaaaaa! Home RAHAAAAAAAAA UTAMU ? VYOTE VYOTE!!! Mange Oyeeeeeeee! LA Oyeeeeeeeee! LELEEEEEEELEEEEEEE! AIIIIIIIIIIIIII!
 
Jamani mimi ninavyojua umbea nilioupata ni kuwa huyo Kylin clinic alifanyia AMI na kujifungua alijifungulia AMI hakuna cha ufaransa wala nini,

Walaaaa mtoto aliendaa France kujifunguaaaa
 
Kumbe wengine hata pesa ya bundle mpaka mkafanye kaziii hahhhhahhhhha sikujuaaaaa mieee
YES I EARN EVERY SINGLE PENNY YA HELA YA BUNDLE IN A VERY VERY VERY HARD WAY,! Kwani Dhambi mweeeeee?
 
Jamani mimi ninavyojua umbea nilioupata ni kuwa huyo Kylin clinic alifanyia AMI na kujifungua alijifungulia AMI hakuna cha ufaransa wala nini,

Rudi kwenye vyanzo vyako ukahakiki info yako. Mama alikuwa france na picha juu zilipigwa. samahani lakini mpnz.
 
baada ya Nyani ngabu kusema ukweli pamepoa ghafla na mada ina change
 
Hapana Lara usitoke nduki haya mamaa wa facts mamaa wa MBA mamaa wa research tunataka utupe facts za research za hospt na gharama za hosp alioenda Kylin... Mwaga data au tukupe muda ugoogle then umrate na shosti

Hahaaaaa! Klyn is a nice girl, hana neno na mtu, hajawahi kusema chochote kujihus6 cha kupinga au kuunga mkono! She lives a quiet life na ni FRIEND WA MY CEO MANGE KIMAMBI,! So sioni kwanini niyaanike nayoyajua juu yake! Hajasema yeye team hachovi, wala nini, yupo tu!

Mimi mada kumuhusu Klyn nachombeza kidogo mnoooo! Na Moni Finance natoa comment za kukiss her ass coz katokaje kimaisha fastaaa afu low profile PEOPLE HAVE THE RIGHT TO KNOW! Ila Moni nasema MEMA tu huenda nikapewa cheo cha mbeba pochi pale kwnye JIKAMPUNI alipo Director of Finance! Haloooooooooooo! Shabiki maandazi, shabiki kitumbua kasingiziwa!
 
Hahahaaaaaaa! Home RAHAAAAAAAAA UTAMU ? VYOTE VYOTE!!! Mange Oyeeeeeeee! LA Oyeeeeeeeee! LELEEEEEEELEEEEEEE! AIIIIIIIIIIIIII!

Hahhhhahhha nakuonaga na kulee unaandikaa hiv hiv aisee mna kazii mmwambie awe anawaletea vinguo vizurii,vinguo gan vilee yaan ingekua mie ningemzaba siwez vaa nguo ya ajabu ajabu kama ilee
 
Hahhhhahhha nakuonaga na kulee unaandikaa hiv hiv aisee mna kazii mmwambie awe anawaletea vinguo vizurii,vinguo gan vilee yaan ingekua mie ningemzaba siwez vaa nguo ya ajabu ajabu kama ilee
Hahaaaa! Mi kule siandikagi, nandika INSTA tu, ( AND YES IM FOLLOWING HER) Mzigo si uliisha ule hata Arusha haukutosha? Hahaaaaa! ONE MANS POISON IS ANOTHER MANS MEAT,!
 
Bila samahani mpenzi,vyanzo vyangu ni google lol kidding
We nawe kwanini unamsema A HUMBLE GIRL kama Klyn? Funika kombe mwanaharamu apite! Waache waamini wanacho amini in no time watu wataanza kuharisha hapa mambo ya k, na wasengery wengine mtoto wa watu achufuliwe bureee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom