Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
na kule chanika anaendaga kusali?? Km kuroga yy ndo mrogaji mkubwa. Bibi wewe usitujazie nzi hana cha kuonesha zaidi ya stroller. Mashauzi meeeeengi vifaa haba mkaage kimya tu. Tuendeleze libeneke kesho mie nalaza mbavu zangu.

hujui kama chanika ana mashamba yake? ulikua nae alipoenda kuroga? we nenda c utatukuta tumejaa tele.
 
hujui kama chanika ana mashamba yake? ulikua nae alipoenda kuroga? we nenda c utatukuta tumejaa tele.
Hahaaaaaaa! Wametaka fact nimewapa FACT naona walikuwa hawazijui wanadandiaga treni mbele! AIBU YAO WENYEWEEEEEE,! Chezea ,MBA International banker!?
 
ohoooo lady i love you ......unaongea ukweli mtupu uwiiiii
 
Yes ndiyo mrs sembe aliacha mumewe apeche kwenda kuolewa na sembe
 
lara 1 oyeeeeee leo umenifurahisha sana walijivaragua hapa balaa nashukuru kwa uwepo wako
 
Last edited by a moderator:
Duuuu....Thiss Lara 1 ni shiida....Kakamilikaje.....HeeeeHeeee
 
Tuwekee na ya Linda basiii
 
Ivi mange anachukuaga namba za watu tigo na Airtel anaanza kuwapigia au kuwatumia message za mashauzi.siwanaenda kwenye blog yake....sasa nashindwa kuelewa kelele za nini.Sio blog ya serikali ile ni yakeeeeee.hee
 
Mgao wa nguo unakujaaa jiandaeee
 
Reactions: GSW

Staki kuaminii na we Lara hua unasubiri mgao wa nguo unajishusha hadhi kwa nguo za ajabu ajabu aka vidasoo lolll acheni kufanywa misukule kama ya Lumumbaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…