Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
na kule chanika anaendaga kusali?? Km kuroga yy ndo mrogaji mkubwa. Bibi wewe usitujazie nzi hana cha kuonesha zaidi ya stroller. Mashauzi meeeeengi vifaa haba mkaage kimya tu. Tuendeleze libeneke kesho mie nalaza mbavu zangu.

hujui kama chanika ana mashamba yake? ulikua nae alipoenda kuroga? we nenda c utatukuta tumejaa tele.
 
hujui kama chanika ana mashamba yake? ulikua nae alipoenda kuroga? we nenda c utatukuta tumejaa tele.
Hahaaaaaaa! Wametaka fact nimewapa FACT naona walikuwa hawazijui wanadandiaga treni mbele! AIBU YAO WENYEWEEEEEE,! Chezea ,MBA International banker!?
 
hahaaaaa! Nyumba ya nini wewe huku machakani.??? Mwenzio alisema wamenunu nyumba la wanarenovate, ! Machakani inabidi mjenge nyie mnaoishi nchi za watu kama digi digi hamna karatasi wala nini mnasubiri ile za mwizi 40! Ila mwenzenu uraia uhakika, ! Wanae wana uhakika wa the american dream,! Bibi yao ana uwezo si ajabu wakaachiwa trust fund, ! Tutahama mjini humu! Watarithi nyumba ya babu jst a matter of time! Ndo aje kujisumbua saka nyoka huku? Atakuwa mwehu!

Millen lazima ashushe, hana future marekani na american dream anaisoma ru humu, ! Wote na odemba aliebahatika zungu choka mbaya. Mwammy ndo ana property/real estate mikocheni worth 3b yes i said b for billion acha hao unaowataja vijumba tu.

Mzungu yule pale kwao, ana privillages kibao, ata akiwa mfagia bustani benefit kibao, sio nyie mnaenda ulaya adu mnazaa na wapopo au negro basi inakuwa purukushani. Mashaui kama yale michosho tu. Klyn usiyaongelee coz sitaki shari mie.



ohoooo lady i love you ......unaongea ukweli mtupu uwiiiii
 
lara 1 oyeeeeee leo umenifurahisha sana walijivaragua hapa balaa nashukuru kwa uwepo wako
 
Last edited by a moderator:
FACTS

1. MANGE KIMAMBI (MBA) INTERNATIONAL BANKER, MARRIEDTO INTERNATIONAL ARCHTECTRE WHO HANDLED MULTIPLE WORL PROJECTS IN DUBAI, WORKED WITH STANBIC BANK (PART OF STANDARD BANK) BARCLAYS DUBAI, DUBAI WORD BANK, ARRIED ONCE, MOTHER OF THREE, LIVES IN LA, DRIVES A PORSCHE CYNE, RICH IN LAWS WITH A POOL AND A BIG BACK YARD, DAUGHTER IN PRIVATE SCHOOL, BUSINESS WOMAN AND SOCIALITE

2.SHAMIM (FORM FOUR LEAVER) BLOGGER, DIVORCED AND MARRIED AGAIN TO A ....... DEALER, 1 DAUGHTER, PREVIOLY WORKED WITH DAR HOT WIRE ONLINE CHAT AS MODERATOR, BUSINESS WOMAN NOW WITH 2 SHOPS, LIVES IN MAGOMENI, DRIVES A RAV 4 METALIC.

HAPOCHACHAAAAAAAA! Si mmetaka facts! Hizo hapo! Sijawa Biased kabisaaa! Kila mtu nimempa haki yake! WALE WA FACTS NAOMBA MKUJE HAPA,!

Tuwekee na ya Linda basiii
 
Kubabake hakufanya baby shoewer ili mumpe FAKE ZONE UCHAFU UCHAFU WENU! Thubutuuuuuu! Amefanya matusi shamim anapanga folleni miaka 8000000!

Kuzalia SINAI CEDARS MCHEZO. ? Walipozalia Kim K, Queen Bey et al!ntena deluxe room! Maza fantaaaaaa! Akavuta na stroller ya $1500 watu KIMYAAAAAAAAA,!

Mama mzungu japo anajikamua ila za uso anatoa vibaya mno!
Ivi mange anachukuaga namba za watu tigo na Airtel anaanza kuwapigia au kuwatumia message za mashauzi.siwanaenda kwenye blog yake....sasa nashindwa kuelewa kelele za nini.Sio blog ya serikali ile ni yakeeeeee.hee
 
Ivi mange anachukuaga namba za watu tigo na Airtel anaanza kuwapigia au kuwatumia message za mashauzi.siwanaenda kwenye blog yake....sasa nashindwa kuelewa kelele za nini.Sio blog ya serikali ile ni yakeeeeee.hee


Mgao wa nguo unakujaaa jiandaeee
 
  • Thanks
Reactions: GSW
Hamjasema mna hela nyie SI NYIE NDO TIMU HAMCHOVI.??? NO FAKE ZONE,! Mnavaa tanzanite, saphire na ehuby?. We treni umeidandia kwa mbele hujajua chanzo kizima! Google TEAM HATUCHOVYI,!

Lazima tupige kelele WATU STROLLER MADE IN CHINA KILA SIKU MNAEUSHA INSTA,! Afu mnajifanya ya mwenzenu aliojikamua mwanae apate luxury sio ishu sanaaa! Nyooookolosti! BIMA MNAYOOOOO.? Au mnaongea tu mradi kuosha vinywa! Karatasi zenyewe za kuunga unga huko kwa watu itakuwa bima?

Mr. SEMBE KAJALA ANAMCHUNA SANAA JAMANI HE IS A DISGRACE TO SEMBE DEALERS,! Ndo nini kile? HAO LIMEWASHIKA SHUUUUU,!

Staki kuaminii na we Lara hua unasubiri mgao wa nguo unajishusha hadhi kwa nguo za ajabu ajabu aka vidasoo lolll acheni kufanywa misukule kama ya Lumumbaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom