Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Mange labda mumpambanishe na Mwammy kidogo profeasional wise na financial wise ndo atasubiri sanaaa! NDO MAANA SHE NEVER TAKES A DIVE AT MWAMMY HATA SIKU MOJA! ILA HAWA WENGINE SHULE LESS WALIOKIMBIA UMANDE ANAWAGARAGAZA KABISA KABISAAA!
 
Wote walioonyesha mali zao wamerogwa... Kama hivyo Bakhresa na Mengi wangekuwa waokota makopo...
Huyo mchambia jiwe hasiye hata na stoo huko US nani amroge.. Mashabiki mnashida kweli.

fungua na wewe blog urodheshe mali zako na mashauzi weka utakavyo hakuna atakae kuuliza.
 
Hiyo MBA ungekuwa unaithamini huyo hasimu wake Sintah mbona anayo basi naye si umtetee... Hata ikiwa ya TEKU bado ni MBA.

Hahaaaaa! YA SINTAH YA MDOMO TU, HANAAAA! MI CV YAKE NINAYO SEMA NI PROPERTY YA QUALITY GROUP NITASHTAKIWA BUREEE, ALIKUWAGA SECRETARY WA MANJI IPO KWA HR NA VYETI VYAKE! Ndo maana hajawahi weka picha za graduation maisha yake hata ya 1st degree, au kuonesha tu kacheti! MANGE ALIWEKA MPAKA MATOKEA KITU CHA UPPER SECOND, LIST YA GRADUATES WA CHUO CHAO MWAKA HUO, PICHA ZA GRADUATION, HAINA UTATA KABISAAA!
 

We si ndo umeshupalia eti aonyeshe mali mumroge acheni ushabiki njaa ingekuwa hivyo matajiri wote wangerogwa.. Kwenye ukweli mseme sio ushabiki tu.
 
Hahaaa! Coz umeyataka ngoja nikupe mie! KAACHIKA AU KAMKIMBIA BWANANKISA LOFA. ? Kaiacha NDOA kufata hela! Haloooooooo!

Uzauza alizaa 20yrs, she was young, naiveee, she made a m7stake na sio kosa lake mwanaume alimuoa mtu mwengine! ILA BIBI ANAIKIMBIZA 40 ANAACHA NDOA KWEUPE KUFATA MSHIKO KWA BWANA WA SHOSTI YAKE.? Haloooooooo!
 
 
YA SHAMIMI FORM SIX YA KUANDIKIA MAKOMBE IKO WAPI.? Nijibu kwanza hili! Hahaaaaaaa! Halooo! Na mengine ya INTERNATIONAL BANKING NA MODERATOR.? Usinichumishe dhambi mie! Porsche na kirav haloooo!
Jamani lara1 unamwonea Shamimu si alisoma pale CBE jamani?
 
 

weka bana tujue mbich na mbivu hapa wakudaganya na MA zao
 
Jamani lara1 unamwonea Shamimu si alisoma pale CBE jamani?
Sikuona pivha za GRADUATION, nikahisi DISCONTINUE, hapa haonewi myu haya tumpe nini Shammy DIPLOMA, CERTIFICATE, ADVANCED DIPLOMA.? Unauhakika lakini aligraduate maana kuanza sio kumaliza?
 
we mwanamke kuja fasta...

ina maana bado kajala analaliwa na mr sembe?

ina huuuuuuuuuuu lara 1




 
Last edited by a moderator:
Sikuona pivha za GRADUATION, nikahisi DISCONTINUE, hapa haonewi myu haya tumpe nini Shammy DIPLOMA, CERTIFICATE, ADVANCED DIPLOMA.? Unauhakika lakini aligraduate maana kuanza sio kumaliza?
We ndo hukuziona lara1. Tumpe tu haki yake hicho hicho alichosomea angalau sio form six leaver....... Hahahahahahaha
 
We ndo hukuziona lara1. Tumpe tu haki yake hicho hicho alichosomea angalau sio form six leaver....... Hahahahahahaha
We ndo umeziona peke yako! But it doesnt mean sio kweli, haya namuongezea CBE, sijajua bado ngazi gani. Mnyonge namnyonga kweli ila haki yake nampa!
 
Hahaaaaaaa! Wametaka fact nimewapa FACT naona walikuwa hawazijui wanadandiaga treni mbele! AIBU YAO WENYEWEEEEEE,! Chezea ,MBA International banker!?
fact ipi? Kumbe kuwa na gari tena ya mkopo (liability) tayari mtu anawekwa kwa matajiri? Hata pango lake binafsi hana anaitwa tajiri? Kama kwa akili zako hizo ndio fact naomba nikuachie uwanja kwani vigezo vyako vya kupima utajiri viko so traditional. Na kwa maana hiyo tutaishia kuzunguka hapo hapo. Kama elimu hicho ni kianzio tu (japo yake ya makombe) ...okay what next???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…