Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Mi nomaaaaaaa! Nimepita mtoano na watu kibao! JESHI LA MTU MMOJA! Watu wanaibuka na ujumvi mwingiii wakipigwa swali wanayoyoma kimya kimya! Bado napasha nipo gado!

Nani kayoyoma?
"Sifa za kijinga"
 
Hakuna aliyesema hutapata mama don't deviate the QN
Besides probably the guy who did the coding(programing point of view(wrote codes))for jamii forum#maxen has no masters lakini wewe mm na manshunshuda wenzio wote tupo mpaka mida hii tunatumia hii framework lakini hujawah sikia akiongelea masters

NIIPATE MARA NGAPI? Hahaaaaaaa! KILA MTU NA MASTERS YAKE AITUMIE ANAVOPENDA,! Wengine tunapenda kuichapia bakora kama hivi kwa raha zetu! Kwani deni si yangu,! Mtu kama yake kaiweka bench that is his business!
 
Kubabake hakufanya baby shoewer ili mumpe FAKE ZONE UCHAFU UCHAFU WENU! Thubutuuuuuu! Amefanya matusi shamim anapanga folleni miaka 8000000!

Kuzalia SINAI CEDARS MCHEZO. ? Walipozalia Kim K, Queen Bey et al!ntena deluxe room! Maza fantaaaaaa! Akavuta na stroller ya $1500 watu KIMYAAAAAAAAA,!

Mama mzungu japo anajikamua ila za uso anatoa vibaya mno!

hospital aliyojifungulia ndio kweli ma celebrity wengi wamejifungulia hapo lakini kwa delux room ni uzushi mtupu kajifungulia kwenye room ya kawaida tu Bidada anapenda sana kujishaua, nasi watz ni wavivu wa kugoogle. Kwa uhakika zaidi google hapa: Give birth like a star: Inside A-list maternity suites
Uone tofauti ya chumba chake na vyumba vya wenyenazo.
 
Hahahahaaaa! ILE COMMENT YA JUU ULICOMENTIWA NINI? Hahahaa! Sio kila mtu anapenda sifa zako jamani! Hahaaaaa!

U shed learn to think outside the box
Do u real think I complemented u?
Do read btn the lines next time
 
U shed learn to think outside the box
Do u real think I complemented u?
Do read btn the lines next time
The question is DOES WHAT YOU THINK MATTER TO ME.??? The ANSWER IS NAAAAAAAAAAAAH! Not a second!
 
hospital aliyojifungulia ndio kweli ma celebrity wengi wamejifungulia hapo lakini kwa delux room ni uzushi mtupu kajifungulia kwenye room ya kawaida tu Bidada anapenda sana kujishaua, nasi watz ni wavivu wa kugoogle. Kwa uhakika zaidi google hapa: Give birth like a star: Inside A-list maternity suites
Uone tofauti ya chumba chake na vyumba vya wenyenazo.
Make yourself clear and choose a side! Karibu kwenye baby shower!
 
hospital aliyojifungulia ndio kweli ma celebrity wengi wamejifungulia hapo lakini kwa delux room ni uzushi mtupu kajifungulia kwenye room ya kawaida tu Bidada anapenda sana kujishaua, nasi watz ni wavivu wa kugoogle. Kwa uhakika zaidi google hapa: Give birth like a star: Inside A-list maternity suites
Uone tofauti ya chumba chake na vyumba vya wenyenazo.

hivi best unaamini haya matangazo ya biashara?? Hata turkish wanatangaza safiri km star na pic ya mesi ndo inatumika wakati ziko ndege walau za kiwango zaidi km swiss air, BA, KLM na nyinginez. Hayo ni matangazo tu. Muulize ngabu amefika hapo akupe ukweli
 
Nyani kashuka nondo hapa pakawa kimyaaaa... yani hata mtu akikaa anakula chips mahali akaweka pic kwa blog basi watasifia weeee, kasema amejifungua cedar na kuongezea akasema ndiko akina kim wanakotibiwa basi hawa waliojulia ndege fast jet wakashika bango tajir tajir, stroler la dola 1500 nalo likatangazwa eti la fashenista wa ukweli na wabeba bendera km kawa wakavalia njuga bila upembuzi. Mengine wanatia aibu jinsi upeo wao ulivyo wa kisoda

Hivi dola 1500 ni nyingi eeeh?
Ndo pesa za kushikia bango kweli?
Seriously fashenista dola 1500 aka Buku hero kweli?
Ndo Lara huyu huyu anayekujaga na vistori vyake vya kujiganya anachuna wanaume mapesa nn?
Mmmh ulimbukeni janga la taifa
 
HAHAHAAAAAAA,! NAONA WATU WOTE WANAJIFICHA KWA BABU YAO.! Cant you all people here STAND FOR YOURSELVES? Hahaaaaa! Anaehitaji jibu ANICOTE DIRECT NAANGALIA MUVI YA KIKOREA HUKU!

Mi naangalia movie ya kijapan huku kwenye deki ya Hitachi
 
Eeeh bundle za.mange hzo?
Anakulisha mpaka kukuvalisha na bundle juu kweli umaarufu gharama
Hahahaaaaaaaaa! You wish? Mwenzio Dina si alikuwa ananiponda bundle nazipata kwa jasho hizi na POLE alinipa?

Afu unajiaibisha kutoa LAME ALLEGATIONS MANGE ANANILISHA NA HAUNA EVIDENCE HATA ROBO,! U great thinker wako uko wapi?
 
Hapa hakimbii mtu ukiona kimya jua watu wako kwenye majukumu. Pia as far as siko LA siwezi kuwa na fact sana za hapo eti kwa kutegemea google tu wakati yuko mtu km raisi wa wabeba box ambaye ameishi huko kwa km 20 yrs. Pamoja na kuwa na general info kuhusu hali na ubora wa hospital za majuu bado Ni lazima NN atumike km reference point kwa kiasi flan as hayo ni maeneo yake ta kujidai.
 
Wamelishwa uongo na mange ....bibi yao ndo kasema ati huko cedar sjui ndo wanakojifungulia na kutibiwa mastar so si makosa yake ni ushamba wa kutojua mambo

Kua mshamba is one thing but kujitambua is different another thing
Huyo Lara anavyoongelea kila kitu Google Google kwann asi Google akajua ukweli?
Besides hajui kuna search engine zaidi ya Google?au ndo she ria za mange hzo lazima utumie Google Havana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom