E Elly Muvunyi New Member Joined Jul 18, 2021 Posts 2 Reaction score 1 Oct 7, 2026 #1 Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Oct 7, 2026 #2 Elly Muvunyi said: Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini? Click to expand... Mbona ni self explanatory, Kupika kwenye "sherehe" ikijumuisha na ualimu wa kupika.…Mama Lishe in short combined na Ualimu wa mama Lishe.
Elly Muvunyi said: Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini? Click to expand... Mbona ni self explanatory, Kupika kwenye "sherehe" ikijumuisha na ualimu wa kupika.…Mama Lishe in short combined na Ualimu wa mama Lishe.
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 2,637 Reaction score 8,057 Oct 7, 2026 #3 Ingia kwenye website au makabrasha yao lazima watakua wameeleza
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,736 Reaction score 5,374 Oct 7, 2026 #4 Elly Muvunyi said: Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini? Click to expand... Lishe na Umamalishe kiufupi unakuww Mama lishe mkuu nq mwalimu wa mapishi hata Yutyubu
Elly Muvunyi said: Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini? Click to expand... Lishe na Umamalishe kiufupi unakuww Mama lishe mkuu nq mwalimu wa mapishi hata Yutyubu
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Oct 7, 2026 #5 Kwafundisha wakina mama wenye watoto mlo/chakula bora kwa watoto ili kupunguza utapiamlo na udumavu. Wakina mama wengi unakuta wanawapa watoto uji wa sembe wenye sukari tu, vitumbua, maandazi
Kwafundisha wakina mama wenye watoto mlo/chakula bora kwa watoto ili kupunguza utapiamlo na udumavu. Wakina mama wengi unakuta wanawapa watoto uji wa sembe wenye sukari tu, vitumbua, maandazi