Bachelorette Shyrose Bhanji

Bachelorette Shyrose Bhanji

Wale ma senior bachelor wajitokeze kwa wingi
Mimi nitakua mtazamaji nguli
images.jpg
 
Daah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.

Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
Inaonyesha hakujipanga baada ya hivo vyeo
 
Jama wa nyegezi aka sosho wa miaka ya 98,99 wanamjua vizuri. Usidanfanywe na nywele za singa. Pana tungi na sigara mfano hakuna
 
Back
Top Bottom