dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Wale ma senior bachelor wajitokeze kwa wingi
Mimi nitakua mtazamaji nguli
Mimi nitakua mtazamaji nguli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha hakujipanga baada ya hivo vyeoDaah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.
Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
It happens... hata Maisha kuna miezi unapigana lakini wapi...Inaonyesha hakujipanga baada ya hivo vyeo
She is a fighter I like herAchilia mbali NMB mpaka City Water kabla ya Lowasa kuivunja na kuwa DAWASA...huyo dada ni MPAMBANAJI hivyo sio wakubeza maana wangapi wamepitia kama yeye wakati wengine system ikiwatema tu kidogo wanatepeta
Oouh.. She wants to introduce hiyo program...
kama ameshaamua kuanzisha naamini ameangalia jamii atakayokuwa anadeal nayo nafikiri.
Usihofu wageni washaandaliwa......😛😛Inaonekana itakua nzuri na watazamaji tupo. Shida ni wageni wake watapatikana kweli?
labda kajipanga kupangua hizo backlash...Yaani sipati picha backlash atakayopata.
Lakini there's always a beginning to something. Labda baadae watu watazoea.
Teh teh cougarTeh teh huyu Cougar yule Jaffarai wake kwanini hakumuoa ?
Upambanaji wake ni fundisho kwetu wanawake kutokukata tamaaA real fighter.
I like her "I could care less" mentality too.
Hzo ndo ups and downs za life aisee lazima kukubaliana na haliIt happens... hata Maisha kuna miezi unapigana lakini wapi...
Haswa.Hzo ndo ups and downs za life aisee lazima kukubaliana na hali
Sisi tunajishauaga sana kwenye mwamvuli wa maadili. Itakua na watazamaji wengi ila guests watakua wanasakamwa sana na waty wa maadili.Mnaona kama hawatatokea?!, au kwamba hakuna wa hivyo..
Mie naona kama watapata moyo wa kutokea show ikianza ku run.
Kama hivyo sawa. Watazamaji tupo wa kutoshaUsihofu wageni washaandaliwa......😛😛
😛
za masikuIdea yake nzuri , anaweza pata washiriki na pia kupata watazamaji
naaam upo sahihiOouh.. She wants to introduce hiyo program...
kama ameshaamua kuanzisha naamini ameangalia jamii atakayokuwa anadeal nayo nafikiri.
naam maisha yako hivyo Amway'sHzo ndo ups and downs za life aisee lazima kukubaliana na hali