Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Sio kweli
 
Hesabu zinakataa. Watoto watatu kwa mwaka milioni 9, sasa wewe umewatoa katikati ya mwaka ina maana ela ambayo ulipaswa kusave ni milioni nne na nusu.
Tuseme kweli umesave ya mwaka mzima. Yani milioni 9 ndiyo ikufanye ujenge, ununue kiwanja, na uwe na saving ya milioni 8.
Wewe ulikuwa hujafanya hayo yote si kwa sababu ya watoto kusoma english medium ila kwa uzembe wako tu.
 
Hana Akili.
 
Kuna exposure kubwa sana English medium ambayo ni standard,mtoto anakua ktk Dunia ya kwanza ktk utambuzi WA mambo.
Tumekutana nao chuo,wamegusa kidogo TU ma-solid work na wengine ma-platform makubwa ya kibiashara wakati sisi tunahangaika na introduction to computer,Wao wanapiga project za mamilioni.

Ushauri,jikune unapoweza ila kama utapamudu EM mpeleke,hizi kayumba za sasa si zile za miaka ya 2005 kurudi chini,Watoto wanatoka mazezeta sana.
Bora akajifunze hata kuchora huko EM awe kua artist au architect wa mchongo badae apigepige hela kabla watu hawajasanuka
 
Kuzaa watoto bongo ni kuwa mradi wa wawatu
 
Niwe na milion Mia kwa mwaka kama pato langu🤣mtoto kwanini asisome shule ya milion 20
 
Mkuu cha kuzingatia ni tuition tu,tafuta mwalimu mmoja ambae ni kichwa kwenye english na hesabu,awe anawabrush kila siku hata kwa masaa mawili tu,ukimpa laki kwa mwezi hawez ikataa
 
Kwahiyo pesa ya ada ya watoto watatu kwa mwaka mmoja ndio umejengea na kufanya yote hayo? Au sijaelewa?

Mtoto mmoja umesema ada 2ml ×3 equals to 6ml per year!

Hapa umewezaje kusave mil8 na kujenga juu hebu fafanua kidogo
 
Unless hiyo kayumba unayosomesha wanao iwe ni english medium, uaamuzi wako utakuja kukugharimu mbele ya safari, kiswahili kama lugha ya kufundishia kinadumaza sana uelewa wa watoto wetu maana vitu bingi vinavyofungua upeo vipo katika lugha ya kiingereza.
 
Watoto wa English Medium nawakubali kwenye kujieleza! Vichwa viko vizuri! Hivyo kila mtu aamue anataka watoto wake waweje!
 
Kwani Kayumba hawasomi English? Sekondary hadi chuo wanajifunza kwa kiingereza hii point yako haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…